Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mauaji ya South Beach yazua utata Na Mwandishi wetu - Imechapwa 20 April 2011 MAZINGIRA yanatengenezwa kwa watuhumiwa wa mauaji ya mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam , Lillah...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Zamani kidogo wakati nakua sikupata kukumbuka kama kuna watu walikuwepo wanaitwa omba omba. Ghafla miaka ya mwishoni na tisini na kuna ongezeko kubwa sana la ombaomba mijini,na kwenye majiji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Haya kwa wale maqshabiki wa dini kwenye siasa sikilizeni huyu naye anavyomanipulate mambo. Yaani tu kwa sababu kanisa lake limepinga namna utawala wake unavyoendesha mambo tayari ameshawapachika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF,kama tunavyofahamu mitaa,barabara,majengo,shule n.k. hasa za serikali zimepewa au kubadilishwa na kupewa majina ya viongozi au watu maarufu.Hii iliibuka zaidi kuanzia miaka ya katikati ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf? Natumaini 2po fresh. Kulingana na heading iliyopo juu, ningependa kufahamu ni jina lipi kati ya haya ya vyama vya siasa linaendana na wakati tuliopo, nikianza na (ccm) chama cha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani tusherehekee sikukuu ya kesho kwa kula na familia zetu. Vikao vya pombe tutaenda jioni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kijana Najab ambaye leo hii usiku wa saa mbili alikuwa afunge ndoa na mchumba wake wa takriban miezi minne hivi amefanyiwa ukatili wa hali ya juu kwa ndoa hiyo kuvunjwa. Kijana Najab ambaye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ASEMA HATA BINAFSISHA TENA TRL, BANDARI Patricia Kimelemeta RAIS Jakaya Kikwete ameahidi kuongeza mishahara ya wafanyakazi kupitia bajeti ya Serikali katika mwaka wa fedha, 2011/2012. Rais...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Waziri Wasira yupo live TBC1 kwenye kipindi cha tuambie akiambatana na Mwanasheria mkuu wa serikali, mada kuu mchakato wa katiba yenye utapiamlo
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Waslam huamini siku ya Ijumaa ni siku takatifu na ni siku ya kumwabudu Mungu. Na wako kwenye mchakato wa kuomba iwe siku ya mapumziko kama wakristu ambazo kwao Jpili ni siku ya mapumziko...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna tangazo la Hakielimu ambalo mwalimu anafundisha somo la computer kwenye shule ambayo jengo lake linakaribia kuangua, wanafunzi wanaona mchoro wanaulizana ile sijui nini iko kama video...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Siku moja tu baada ya ziara ya senator Mcain Libya, Marekani deploys deadly unmanned pradator drones /Lengo?-kutungua zana za Gaddafi kwa shabaha zaidi,Modern warfare baala tupu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Jf Naipenda sana Tanzania lakini bado nashangazwa na mipango na mambo yanayoendelea ktk nchi yetu. Nashangaa hivi Tanzania tumetowa wapi hii sera mbovu ya ubinafsishaji na uuzaji wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kuna jambo linanichukiza Wanajamii kutumia matusi, udini au ukabila kwenye mijadala mbali mbali humu mtandaoni. Hivyo hatuwezi kujadiliana kwa njia za kistaarabu na hoja zetu zikawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuanzia asubuhi hii chuo cha sayansi ya mawasiliano(INFORMATICS)katika chuo kikuu cha Dodoma wameanza mgomo endelevu,wakigomea kitendo cha kutolipwa fedha za vitivo(special faculty requirements...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Leaders and riches: The Nyerere legacy By Joseph Mihangwa 11th January 2011 Mwalimu Julius Kambarage Nyerere There was a time, following the fall of President Kwame Nkrumah in Ghana in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muccobs ni chuo kikuu kishiriki cha ushirika na biashara ni branch ya Sua, kilipata kuwa university mwaka 2004, ningependa kusema kwamba tangu kipewe hadhi ya kuwa chuo kikuu kishiriki hamna...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu wana JF, Najua wengi sasa mpo na pilika pilika za Easter, Nina shauku kubwa sana ya kutembelea Bar maarufu mjini DSM wakati wa sikukuu hii ya pasaka. Bar inaitwa - MWANAMBOKA, nasikia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Shukrani ni desturi ya binadamu baada ya kutendewa jambo jema. Mwaka 2005 tulishuhudia JK akipita sehemu mbalimbali za nchi yetu Tanganyika akiwashukuru wananchi kwa kumchagua kuwa rais wao; Pia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika harakati za kujisafisha ili kuleta mvuto kwa wananchi, baadhi ya vigogo katika Chama Cha Mapinduzi wamepewa siku 90 kujiengua. Swali ninalojiuliza ni kwamba wameambiwa waondoke katika chama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom