Kwanini Siku ya Ijumaa huwa ni ya Kuandamana

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Waslam huamini siku ya Ijumaa ni siku takatifu na ni siku ya kumwabudu Mungu.

Na wako kwenye mchakato wa kuomba iwe siku ya mapumziko kama wakristu ambazo kwao Jpili ni siku ya mapumziko.

Maandamano mara nyingi huongozwa kwa jazba, kejeli,matusi,vurugu, mauaji nk

Inakuaje tena baada ya Ibada wanakua na ajenda ya kuandamana, bila kujali kitendo hicho kitawaondolea ile udhu au baraka walioipata hapo kabla?

Mbona mimi siku ya Ibada au nikitoka kusali najihisi nina unyenyekevu, utu wema, fadhila na mwenye upako kiasi kwamba siwezi kufanya upuuzi wa kubeba jeneza na pengine linamaiti ndani na kuanza kuandamamna nalo barabarani?

Kuna recordi yeyote duniani wakristu wamewahi kuandamana Jpili siku ambayo sio ya kazi (pengine ingekua advantage) na kubebelea majeneza?

Tafadhali naomba haya mafundisho ya kwenye Wagalatia yawe yanafundishwa kwenye mahubiri yenu.
Wagalatia 5:22-25 "Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi.

Mhubiri 2;15 ROHO WA MUNGU AWAPE HEKIMA YA KUYATAFAKARI MANENO HAYA. Asanteni.
 
ingekuwa bora uwaache waislamu na mambo yao sijui unakereka na nini rohoni mwako mpaka uingilie mambo ya waislamu,,huo ni ushauri wa bure tu kaka yangu,mambo ya kukejeli imani za watu sio mazuri na wewe huwezi kuwapa nasaha masheikh namna ya kuwafundisha waumini wao
 
Hivyo ukiona mtu anapotoshwa mwache tu?
 
kuna cku 7 katika wki. je wewe ni nani hata uwapangie wafanye nini na wakati gani? mbona wwe unaenda against mistari uliyoiandika?
inaonesha huna upendo wala uvumilivu. u mchochezi mkubwa na kujiona innocent......
 
Muwenae makini huyo jamaa, hana tofauti na mbegu za mpanzi zilizoangukia kwenye "miamba."
 
ingekuwa bora uwaache waislamu na mambo yao sijui unakereka na nini rohoni mwako mpaka uingilie mambo ya waislamu,,huo ni ushauri wa bure tu kaka yangu,mambo ya kukejeli imani za watu sio mazuri na wewe huwezi kuwapa nasaha masheikh namna ya kuwafundisha waumini wao

mtoto ndio kwanza una post 10 ila busara tupu!
 
Back
Top Bottom