Pasaka haijakamilika bila pilau na soda.

Pasaka haijakamilika bila pilau na soda.

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,833
Reaction score
9,383
Jamani tusherehekee sikukuu ya kesho kwa kula na familia zetu. Vikao vya pombe tutaenda jioni.
 
Mzuka sana.
Ila wale wa msimu chachi wasikose.
 
Nawatakieni wana JF wenzangu Pasaka njema. Pilau na soda huku tukijumuika na familia zetu ni jambo la msingi mno.
 
Back
Top Bottom