Jambo hili linachukiza sana

Jambo hili linachukiza sana

Makaimati

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
462
Reaction score
87
Kama kuna jambo linanichukiza

Wanajamii kutumia matusi, udini au ukabila kwenye mijadala mbali mbali humu mtandaoni.

Hivyo hatuwezi kujadiliana kwa njia za kistaarabu na hoja zetu zikawa nzuri?

Jamani tujirekebisheni, huu ni ukumbi wa Great Thinkers.
 
Back
Top Bottom