Majina ya mitaa kuwa ya viongozi,vip hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina ya mitaa kuwa ya viongozi,vip hii?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulimakafu, Apr 21, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,988
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Wana JF,kama tunavyofahamu mitaa,barabara,majengo,shule n.k. hasa za serikali zimepewa au kubadilishwa na kupewa majina ya viongozi au watu maarufu.Hii iliibuka zaidi kuanzia miaka ya katikati ya tisini.Inavyoelekea kama tutaendelea na tabia hii miaka mitano ijayo karibu majina mengi ya kumbukumbu yatakuwa yamepewa ya watawala kama:

  Makamba
  Titi Mohamed
  Salma Kikwete
  Anna Mkapa
  E.Lowassa nk.

  Hii imekaaje?
   
 2. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  imekaa poa hata wewe ungekuwa kiongozi tungetoa jina la mtaa/shule ulimakafu
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,988
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Baada ya muda majina yote yawe ya viongozi?No haijatulia,majina yote ya asili yatapotea.
   
Loading...