Lipi jina lenye mvuto (Chadema) or (ccm).

Blessingme

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
250
52
Habari wana jf? Natumaini 2po fresh.

Kulingana na heading iliyopo juu, ningependa kufahamu ni jina lipi kati ya haya ya vyama vya siasa linaendana na wakati tuliopo, nikianza na (ccm) chama cha mapinduzi, mi kwa nyakati zilizopo sielewi tunaenzi mapinduzi yapi na kutoka kwa nan? Nikianzia ubora wa elimu bora hata enzi za mkoloni, demokrasia bado, maendeleo 2nayosema 2ngeyapata bado 2po nyuma, so mapinduzi yapi kuiondoa serikali ya kikoloni, cjui ndo kama maana ya mapinduzi wanayomaanisha.

Kwa hili jina hili not consistency kwa mahitaji ya teknologia, (chadema) chama cha demokrasia na maendeleo kwa maana nyingine nguvu ya umma(peoples power) ikimaanisha umma ndio wenye mamlaka ya rasilimali zote, ikimaanisha hakuna mtu aliyejuu ya sheria na maamuzi si ya mtu mmoja bali ni umma ndio unaoamua mustakabali wa nchi.

Nirudi kwenye maana ya demokrasia na maendeleo, kwa wakati 2lionao demokrasia ni msamiati kwa maana hii haiwezekani chama kimoja kushika hatamu kwa muda mrefu sana inamaana hakikosei?

Hata mchezo wa kukimbia na kijiti huwa 2napokezana 2kiamini mtu yuleyule itafikia kipindi atakuwa amechoka kwa hiyo kinachohitajika ni mtu mwingine mwenye kujua technique nyingi, nikimaanisha kama ni gari 2mepanda gari la mwaka 1961 na 2nahitaji kufika wakati 2meacha magari mazuri ambayo ni latest.

Kwenye suala la maendeleo, huwez endelea kama huna demokrasia! Kwa maana hii hamna siasa safi, hamna elimu bora, hamna huduma bora za afya! Je tutaendelea kama chama chenyewe slogani yao ni mapinduz tena hawajaspecify ni kilimo, viwanda , siasa o what?

Its time for tanzanian people to know what we are demanding, revolution or democracy$development(dd). And by knowing this, it comes a time to choose which one among these political parties is consistency, will satisfy our needs?

Naomba kuwasilisha
 
hawa ndio wale wanafunzi waliokuwa wanaandamana kudai laptop. huwa badala ya kukomaa na kitabu huwa wanaingia kuanzisha post zisizokuwa na msaada wowote kwa taifa.
 
Hivi jina la chama cha siasa likiwa na mvuto sisi masikini wa vijijini inatusaidia nini, mambo ya mvuto nadhani ni mambo ya urembo kwenye siasa za nchi hii atuitaji mvuto
 
Unaweza kuwa na jina zuri lakini ukawa na tabia ya magamba ambaoni ubatili. Thread yako haina upako!
 
hawa ndio wale wanafunzi waliokuwa wanaandamana kudai laptop. huwa badala ya kukomaa na kitabu huwa wanaingia kuanzisha post zisizokuwa na msaada wowote kwa taifa.
taratifu mzee wengine 2limaliza shule ck nying na tupo kazin. U are wrong kajipange upya
 
hawa ndio wale wanafunzi waliokuwa wanaandamana kudai laptop. huwa badala ya kukomaa na kitabu huwa wanaingia kuanzisha post zisizokuwa na msaada wowote kwa taifa.

post ipi unaiongelea isiyo na msaada kwa taifa?kama ni hii ipo poa maana uzuri/mvuto wa kitu unaanzia mbali hata kwenye jina pia.
 
Mimi nadhani hii mada ingesubiri CCM waanzishe JF yao kama walivyoagizwa na ripoti maalum nadio wshindanie huu upupu... Hakuna tija kwenye jina, kuna tija kwenye malengo, kazi, mafanikio na focus kwa wananchi
 
Back
Top Bottom