Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustino Mrema ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo, akihutubia wananchi wa Manispaa ya Morogoro kwenye viwanja vya Fire mjini humo, wakati wa mkutano...
YECCO (T) LIMITED was registered and incorporated under the Companies Act No. 12 of 2002 Cap 212 of the United Republic of Tanzania and holds a Certificate of Incorporation No.72307 of August...
Ndugu zangu wanaJF,
Mengi yameongelewa humu JF juu ya mtu anayejiita Dr. Ndodi kuhusu utapeli wake. Mwanzoni nilidhani wanamwonea lakini mimi mwenyewe nimeshuhudia kwa macho yangu. Kuna kijana...
Kama CCM imeona Chenge, Lowassa na Rostam Aziz kuwa ni mafisadi, wala rushwa na waliojipatia mali kwa njia za wizi, je Takukuru wanangoja nini kuwaburuza mahakamani watu hawa? Au hawa vinara wa...
salamuni ziwafikie wote
jamani nimetoka kuangalia taarifa ya habari ya michezo ITV imeonyesha vodacom wamefanya shuffle dance..moja ya watu waliohojiwa alikuwa ni foreigner wa kizungu
afu chini...
Jamani kwenye interviews nying swali la kwanza huwa ni tellus about yourself. Je watu hawa wanakuwa wanataka ninini hasa?? na ni vizuri utumie mda gani kujibu swali hilo.
Kama uongozi wa Udom kitivo cha elimu hautakuwa makini ili linaweza zua mgogoro mkubwa.Serikali ya wanafunzi(udoso)wemetafuna pesa za students union Tsh mil.16 na ushahidi upo bayana.Hayo...
NIMELAZIMIKA KUANDIKA THREAD HII BAADA YA KUCHEKI DOCUMENTARY MOJA YA BBC ABOUT AFRICA, TANZANIA INAELEZWA KUWA MOJA YA NCHI DUNIANI AMBAYO INA "KILA LITU" AMBACHO NCHI YOYOTE INATAMANI...
By HASINA MJINGO, 23rd April 2011 @ 11:21pm
DAILY NEWS
INADEQUATE financial resources are to blamed for the poor conditions at the maternal ward in Temeke and Mwananyamala hospitals, it has been...
Wafanyakazi wa kampuni moja ya kupakua mizigo bandarin, ambayo ni wakala wa ticks, wameachishwa kazi leo na kuambulia kiinua mgongo cha sh. Elfu 40, wamefanya kazi kwa miaka zaidi ya 2 kama...
Pamoja ya kuwa kagame anashutumiwa kuwa ni miongon mwa mwanzilishi wa machafuko na umwagaji wa damu '94, lakin huyu jamaa ni kiboko. Kutoka nchi iliyoharibiwa na vita mpaka kuwa nchi inayokuwa kwa...
Wakubwa JF
Nafikiri wote mnamfahamu yule Msomali wa Rostam Aziz aliyekataliwa na Kikwete asigombee ubunge wa Nzega, Hussein Bashe. Hivi sasa kapewa u- CEO wa kampuni ya magazeti ya Propaganda za...
Askofu Ruwaichi alilia na haki
Kwa upande wake, Ruwaichi ambaye ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, alisisitiza umuhimu wa Serikali na dola kutoa haki kwa umma akisema: Siyo lazima...
MSAKO mkali wa wahusika wa mauaji ya askari Polisi yaliyotokea katikati ya wiki katika Kijiji cha Mwakashanhala, Kata ya Puge wilayani Nzega, yamewalazimu wanaume wakazi wa kijiji hicho kuyahama...
Japo ni vigumu lakini yatupasa tujifunze ustaarabu mpya, labda huo unaweza ukatusaidia.
Kama CCM imejaribu kufanya jambo ambalo linalenga kuleta muafaka wa kijamii, kwa nini isipongeze kwa hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.