Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu, Jana tukiwa katika mapumziko ya Jtatu ya Pasaka tulikuwa na mjadala kuhusu mabaya na mazuri ya Edward Lowassa. Kulikuwa na makundi mawili. Kundi la kwanza lilikuwa na msimamo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Inapendeza sana kuwa na vijana wabunifu kwenye taifa hili.mfano ni kada wa chama mojawapo cha siasa aliyeweza kuja na falsafa mpaya na yenye mvuto kwa jamii ambayo ni 'washaa taa mchana'...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu naomba tujuzano katika hili. Hii sheria ya kuwa kama umsajili gari lako huku bara na ukabahatika kulihamishia Zanzibar kwa matumizi yako yawezekana umekwenda kule kikazi, unapewa (3)three...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MKAZI wa Mbagala jijini Dar es Salaam, ameibuka na kusema kuwa ameoteshwa na Mungu kutoa dawa kwa njia ya kikombe kutibia wagonjwa wenye maradhi sugu. Dawa hiyo amedai Mungu amemuotesha kutoa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Leo nimepita maeneo ya Tegeta nikakutana na kijana mmoja ameshika magazeti lundo ya Tazama Tanzania’ anayagawa na akaniambia anatoa ofa, nikamuuliza ni kitu gani kimekufanya ugawe magazeti...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Waziri mwingine atua Samunge Send to a friend Tuesday, 26 April 2011 21:24 Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chizza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natamani Kuifunga Jela Mifupa yake. Salaam ndugu zanguni wapendwa ndani ya jukwaa hili la JF, ni matumaini mpo na siha njema kabisa. Leo nami najikita kwenye jukwaa la ili. kwa machache ambayo...
6 Reactions
131 Replies
11K Views
Wakuu akina invisibles et al. Nadhani kuna umuhimu wa kuongeza kitufe cha kuonesha new recent posts kwenye mada uliyoanzisha au hata kuchangia. Hii itatusaidia kufuatilia na pia haja ya kujibu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limeingia katika kashfa nyingine ya ufisadi baada ya kubainika kuwa limeilipa Kampuni ya kufua umeme ya Dowans dola za Marekani 1.2 milioni ikiwa ni gharama ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msia Kibona Clark 25 April 2011 Tanzanian hip hop emerged in the late 80s, and by the late 90s was being labeled: Bongo Flava. As this new genre went in the direction of pop and incorporated rap...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Ni muda mfupi umepita ambapo zoezi la kuchukua na kurudisha fomu kwa wale wote waliokuwa na nia ya kuwania nafasi za uongozi taifa ndani ya Balaza la Vijana Chadema kufikia tamati jioni ya leo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
there is only one person who is capable to set limits to your growth IT IS YOU. your life changes when YOU change i am not happy with the current government but there is also something that i...
1 Reactions
1 Replies
960 Views
Have you locked your keys in the car? Does your car have remote keyless entry? This may come in handy someday. Good reason to own a cell phone: If you lock your keys in the car and the spare keys...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linaendelea kuwahoji maofisa kadhaa wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kuhusiana na tuhuma za kuruhusu usafirishaji wa twiga wanne kwenda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Zanzibar ipo mbali sana na Tanganyika ukilinganisha na nchi nyingine kama Kenya, Uganda nk. Hivi ni kwa nini Nyerere aliamua kuiunganisha Znzb na Tangnyk na sio hizo nyingine? Zanzb na nchi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwuungano unatunufaisha nini wabara?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ni kitu cha kushangaza kuona Rais hatoi hotuba katika sherehe kubwa za kitaifa km vile muungano na uhuru. nilitegemea atoe hotuba za kutoa mwelekeo wa taifa letu. je ni tz tu au na nchi zingine...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Chama Gani Duniani kinafanya hivyo? Huu hautakuwa Wizi? Tuesday, 26 April 2011 12:35 newsroom NA KHADIJA MUSSA CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeazimia kujiimarisha kiuchumi, ambapo sasa wanachama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau nipo hapa mjini Nairobi nimekutana na baadhi ya watu wa hapa maeneo ya Parkland wanaliita kanisa la kilutheri ambalo mchungaji wake mstafu Ambikilile mwasapile anatoa KIKOMBE Kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Na Grace Michael BAADHI ya wananchi wa Jimbo la Vunjo, wamemwomba Rais Jakaya Kikweye kuangalia uwezekano wa kumteua aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Bw. Aloyce Kimaro kuwa mbunge. Rai hiyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom