Mgomo UDOM

LWAKAPISI

Member
Mar 31, 2011
46
4
kuanzia asubuhi hii chuo cha sayansi ya mawasiliano(INFORMATICS)katika chuo kikuu cha Dodoma wameanza mgomo endelevu,wakigomea kitendo cha kutolipwa fedha za vitivo(special faculty requirements allowance).ninapoandika thread hii ndo nimepata taarifa kuwa safari yao imeanza kuelekea kwa waziri mkuu.
 
Sijapataona gvmnt kiziwi ikaizidi hii ya JK ,nadhani ni muda wa kuonyesha uhalisia ya mamlaka walizonazo >people power<!!!
 
Poleni sana ndugu zetu kwa madhila yanayowakumba. Tafuteni haki yenu. Ni matumaini yangu kuwa mmepitia hatua mbalimbali za amani ikashindikana hivyo mkaamua kuingia barabarani. Kila lenye kheri!
 
unajua nini jaman uongozi wa udom ni mafisadi wanachakachua fedha za wanafunzi sasa umeibuka mgomo wa kutoingia darasan hadi wanafunzi 10 waliorudishwa home watakaporudishwa chuoni yaleyale udsm tunaelekea wapi watz ktk elim
 
Back
Top Bottom