Je waifahamu Muccobs? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je waifahamu Muccobs?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jobless B, Jan 13, 2011.

 1. J

  Jobless B Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muccobs ni chuo kikuu kishiriki cha ushirika na biashara ni branch ya Sua, kilipata kuwa university mwaka 2004, ningependa kusema kwamba tangu kipewe hadhi ya kuwa chuo kikuu kishiriki hamna darasa wala jengo lolote lililojengwa zaidi ya kubadili canteen kuwa lecture hall, dept ya kuhifadhi document kuwa lecture hall, na ni chuo kikuu kwa kusini mwa africa pekee kinachotoa digrii kuhusu ushirika kuna watu wanatoka nchi mbalimbali kusoma pale, kwa mawazo yangu nlifikir kwa hazina hii tuliyonayo 2ngeweza kukifanya kiwa gumzo kwa nchi mbalimbali na kuwa2mia wasomi wake kuendeleza vyama vyetu vya ushirika kuliko kutenga fedha nyingi kwenda Udom! Naomba kuwakilisha
   
 2. m

  mabogini Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cooperative business is dead,so there's no need of cooperative degrees.
   
 3. DON KILLUMINATI

  DON KILLUMINATI Senior Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ...ndio maana vyama vya ushirika kama tarecu (tanga), shirecu (shinyanga), kncu (moshi) pia vimekufa, kwa hiyo hata hicho cha muccobs, chafaa kufutwa au kuanza kutoa fani nyingine kama education, engineering na health sciences.
   
 4. F

  Florian Mshanga Member

  #4
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  We vip kaka?Kama tanzania vyama vya ushirika vimekufa kama unavyodai je saccos msingi wake nini?Je nchi nyingine kama Zambia, Angola Lesotho nako vimekufa? Kumbuka ndicho chuo kikubwa kwa masuala hayo Central,East and southern Africa na kinashirikiana cooperative college in United Kingdom.Ngoja nikufafanulie jina lake,ili uelewe zaidi ni MOSHI UNIVERSITY COLLEGE OF COOPERATIVE AND BUSINESS STUDIES nikimaanisha kwamba hakitoi tu Bachelor au Master degree katika masuala ya cooperative bali kinatoa nyingi kama fani zifuatazo.Kuna accounting and finance,community economic development,procurement and supply management,microfinance and enterpreneurship development na nyinginezo.Kwa hiyo wewe unayesema eti chuo kibadilishwe kuwa cha education huna sera wala facts pengine chuo cha ushirika unakisikia tu hukijui kwa undani.Kwa lugha ya kijiweni ni kwamba unaprovoke na unakipimia.
   
Loading...