Road Licence MBILI Bara na Visiwani(Tanzania) kwa gari moja!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Road Licence MBILI Bara na Visiwani(Tanzania) kwa gari moja!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kisoda2, Apr 27, 2011.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Wakuu naomba tujuzano katika hili.
  Hii sheria ya kuwa kama umsajili gari lako huku bara na ukabahatika kulihamishia Zanzibar kwa matumizi yako yawezekana umekwenda kule kikazi, unapewa (3)three months and no more! uwe umebadili number plate na kuwa ya huko.
  Sasa kazi inakuja hapa kwenye ROAD LICENCE.
  ukiwa kule inakubidi ulipe ya kule(ZNZ) na ya huku BARA pia.
  kinyume na hapo siku ukirudi BARA unalipishwa toka siku ulipo koma kulipia huku BARA na penalty juu.
  Sasa hapa ndo pana nichanganya sana.Gari halitumiki bara bado natakiwa nilipie,na kule linakotumika nako nalipia!!
  Wataalam tupeni mwangaza hapa.
   
Loading...