Ni muda mfupi umepita ambapo zoezi la kuchukua na kurudisha fomu kwa wale wote waliokuwa na nia ya kuwania nafasi za uongozi taifa ndani ya Balaza la Vijana Chadema kufikia tamati jioni ya leo kwenye ofisi za chama makao makuu Dar es es salaam.Kwa kuwa nilikuwa mdau wa zoezi hili tangu ulipotolewa waraka kuruhusu zoezi hili tar 04/04/2011kupitia mtandao wa baraza hilo na mh John Mnyika ni mambo mengi nimeweza kugundua hadi kufikia kuona kama si URASIMU basi utakuwepo UZEMBE hasa kwa wale wote wanaohusika kuratibu zoezi hili nitaeleza;
Upatikanaji wa fomu,tatizo la kwanza ulikuwa upatikanaji wa form ambapo maelezo ya awali yalionyesha form zingipatikana makao makuu ya chama na ndani ya mtandao,kinyume chake waliofuata fomu makao makuu walikutana na maelezo tofauti kuwa fomu zingipatikana ofisi za mkoa na majimbo kosa la kwanza ni kwa nini taarifa hiyo haikutolewa ktk vyombo vya habari?
Kosa la kwanza linasababisha kutokea kosa la pili ambapo pamoja na Chadema kuonekana ni chama chenye mtandao mkubwa kwa sasa lakini ukweli unabaki kuwa ni wanachama na wapenzi wachache wanao juu zilipo ofisi za majimbo na mikoa kabla hujagusia sehemu nyingi zisizo na ofisi hizo pamoja nachama kulijua hili bado huna jitihada za wazi na za makusudi zilizochukuliwa na hapa kwa mara ya kwanza naomba kumtupia lawama za moja kwa moja mh MNYIKA maana jukumu la kuacha BAVICHA iliyoimara anajua umuhimu wake pengine kuliko viongozi wenzake ngazi ya kitaifa.
Udhaifu mwingine uliojitokeza na ambao unapelekea kuwa na mawazo ya kupeleka pingamiza ndani ya chama kuzuia kuendelea kwa zoezi hili ni mabadiliko ya kuwasilisha fomu kwa makatibu wa mikoa na badala yake fumu kupelekwa moja kwa moja makao makuu taarifa ambazo hazikuwafikia walengwa matokeo yake nikupeleka fomu mkoani na majimboni na kukataliwa kupokelewa hadi zipelekwe makao makuu ya chama huku ikizingatiwa leo ni siku ya mapumziko kitaifa ningekuwa na mashaka kwamba pengine sisi Chadema hatuitambui ila ni leo hii dr W.SLAA nimeona akituma salaam za sherehe za muungano kwa mh JAKAYA KIKWETE na watanzania kupitia ukurasa wake wa Facebook,swali la kujiuliza ni kwa nini zoezi hili liliangukia siku ya leo? Fomu ilikuwa inaeleza wazi gharama za kuichukua malipo yake yaliopaswa kufanyika ktk benki mbili CRDB NA NBC malipo haya walitegemea yafanyike vipi sikuu kama hii! Lakini kama hiyo haitoshi waliopewa jukumu la kutoa fomu baadhi yao waliachiwa pesa za kuchukulia fomu kwa maelezo kwamba wao wangefanya kazi ya kuweka pesa na kuambatanisha listi pamoja na fomu matokeo yake alipeleka fomu akawa anarudishiwa pesa ili azipeleke benki huku nako benki hazifanyi kazi.
Inatokeaje viongozi wa chama makini kama Chadema wanafanya makosa ya wazi kama haya jibu ni wazi kuwa bado tatizo la kitaifa kufanya mambo kwa mazoea linaendelea kusumbua hata ndani ya vyama vyetu sisi tuliojipambambanua kama watetezi wa wawanyonge na tunaopinga kuongezekeka kwa ufa kati ya walionacho na wasiokuwanacho na jambo hili ni hatari sana kwa ustawi wa vyama vyetu vya upinzani kama tataanza kulewa sifa kwa mafanikio kiduchu tuliyapata miaka mitatu nyuma,kwamba viongozi wanafanya maamzi kwa mtazamo wa kidasilamu!Fomu hazipelekwi mkoani kisa zinapatikana kwenye mtandao ni watu wangapi wanaufikia mtandao hou? au tuseme watu walioko mwininge segese kahama hawawezi kuwa viongozi?
Nimalizie kwa kusema tu ni mlevi ama mnafiki tu anayeweza kupiga mayowe ya furaha akihisi ni 2015 tu Chadema inaenda kushika dola kabla hajajawa na hofu hasa akihisi chama kitaenda kwenye uchaguzi ujao kabla ya kuondoa kasoro hizi.