hotuba vp ktk sherehe za muungano na uhuru

n.ngereja

Member
Joined
Apr 26, 2011
Posts
32
Reaction score
4
ni kitu cha kushangaza kuona Rais hatoi hotuba katika sherehe kubwa za kitaifa km vile muungano na uhuru. nilitegemea atoe hotuba za kutoa mwelekeo wa taifa letu. je ni tz tu au na nchi zingine hivo hivo?
 
Hana mpya amekuja Zanzibar na watanganyika wengi tuu. Yeye mwenyewe amepata "shock". Wana CCM wenzake pia hawakujishughulisha nae. Kwa ufupi wamemuonyesha dharau kubwa sana. Basi Kikwete ajijue hapa Zanzibar muungano haupo. Muungano uko huko bara.
 
watanganyika ndio ki nani hao?nimeitizama video clip ya nyerere akichanganya udongo nimepata picha ni hatari kuvunja muungano!
 
Hakuna Mtanganyika wala Mzanzibari aliyetayari kuona muungano ukivunjika. Wote tunataka muungano wetu tuuzungumze na kuondoa au kuweka vitu vilivyokosekana au kuwa na kasoro. Si kweli kwamba wanaohoji kasoro za muungano wanataka uvunjike. Tunataka muungano utakaokuwepo hata bila CCM kuwepo madarakani. Kwa hali ilivyo leo ni kinyume chake.
 
muungano kwa sasa ni sumu, kuna mabomu mengi (timing bombs) nadhani kachagua kukaa kimya maana wazanzibar naona kama wana mpango wa kuuvunja wanatafuta sababu tu za kuuvunja, jk anavimeo vingi kwa sasa, hiki kakiruka nampongeza kwa kusoma nyakati katika ili

Back
Top Bottom