Serikali ya jirani zetu wa Kenya imepunguza ushuru wa mafuta kiasi, sasa bei ya mafuta imeshuka na kufika 1320 kwa lita. Sasa ile propaganda ya mkuu wa kaya na serikali yake ya kichovu kua...
MKAZI wa Keko Dar es Salaam, Noel Mwapula (24), anayedaiwa kuwa mlinzi, amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashiatka yapatayo matano likiwemo la mauaji ya watu wawili katika...
Mwanaume mmoja wa nchini Taiwan ambaye alijitangaza kuwa yeye ni mtume amesababisha mtafaruku nchini humo baada ya kutabiri litatokea tetemeko kubwa la ardhi nchini humo mwezi mei na kusababisha...
Katika Kitivo cha Sayansi za Jamii (Social Science) majina ya waliopitishwa kugombea u-raisi wa kitivo ni;
- Philipo Mwakibinga
- Godwin Gonde
- Israel
Tume ya uchaguzi pia...
Wakuu mbona kila nikienda mlimani city kununua umeme nikiwa na shilingi zangu elf nne wananiambia wanauza kuanzia elf 10 hii ni sawa? Kwa nini tanesco inatubagua sisi wananchi wa kipato cha chini...
Amani iwe nanyi
Habari nilizozipata hivi punde na ambazo nimeridhika kuwa zinafaa kuwekwa hapa jukwaani kwa taathira yake ni kuwa Mwl. Basil Lema ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Moshi...
Nimesikia fununu kuwa lile jengo lefu la UvCcm sasa unaweza book apartment Hebu wanaojua watuambie na je nikinunua nitapewa hati? Wakati mmiliki ni CCM ?
NA PETER KATULANDA, MWANZA
Thursday, 28 April 2011
MJUMBE wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa, Barnabas Mathayo, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumteka kwa silaha na kumbaka binti wa miaka 22...
Jamani ifike mahali shule za binafsi zenye kawaida za kufelisha zifutwe kwani ni hasara kwa wazazi. Iweje kila mwaka bidhaa zao ziwe mbovu na bado TBS ya wizara ya elimu haiwamliki? Kaguzi zipi...
Hello Jf members
Kwa kitambo nimekuwa nanyi. Nimethamini, nimeipenda michango yenu na nahisi nitaimiss kwa kiasi fulani. Nitakuwa mbali na jukwaa kwa kitambo kidogo kuanzia kesho 13th April. Hii...
Jana nilikuwa kwenye lift za jengo la PPF Tower. Mara nyingi nina tabia ya kupenda kuimba au kupiga mruzi hata ninapokuwa mwenyewe au hata niapotembea.
Lakini ninapkuwa kwenue public basi hata...
Niliposikia vigogo wanasiasa kukimbilia loliondo kupata kikombe sikushtuka! Maana naelewa wengi huwa ni wepesi katika imani bila utafiti! mara ngapi tunasikia wakati wa uchaguzi wanakwenda...
juzi nimepanda bus tajwa hapo juu, kwa kweli abiria tuliteseka sana, lilikuwa linaendeshwa na dereva anaitwa Salakana,huyu bwana alikuwa anakimbia sana na mbaya zaidi huku anaongea na simu kila...
With a freedom of speach ground,but make sure you dont hut any body around you,note that, a silence foolman,thought to be wise than a talketive inteligent .
Leo niliona nyumba ya familia moja inayofahamika ina uhusiano wa karibu na mwandishi wa huko Dar ndugu Kubenea ikiwa imegongwa na gari na kuharibika huku watu kadhaa wakiwa ndani ya nyumba hiyo...
Tangu mvua za masika zianze kumekuwa na usumbufu usio wa lazima kwa watu wanaosafiri kwenda Kilosa.Inabidi ukitokea Moro upitie Dumila safari ambayo huongeza zaidi ya Kilometa 50.
Tatizo lipo...
Tangu mvua za masika zianze kumekuwa na usumbufu usio wa lazima kwa watu wanaosafiri kwenda Kilosa.Inabidi ukitokea Moro upitie Dumila safari ambayo huongeza zaidi ya Kilometa 50.
Tatizo lipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.