Kitufe cha New Posts

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,217
1,259
Wakuu akina invisibles et al.
Nadhani kuna umuhimu wa kuongeza kitufe cha kuonesha new recent posts kwenye mada uliyoanzisha au hata kuchangia. Hii itatusaidia kufuatilia na pia haja ya kujibu hoja zilizoelekezwa kwenye mada husika.
Kutumia "New posts" ya sasa utaishia kuangalia hoja mpya ambazo yamkini hukuchangia. Tukiweka kitufe hiki watu wengi hawataonekana kukimbia hoja zao ambao yamkini wameshindwa kuziona zilipo.
Kwa namna ilivyo sasa, kuifuatilia mada yako jinsi inavyochangiwa itabidi uzunguke sana mpaka uione, hasa kama haijachangiwa dakika chache zilizopita.
 
Back
Top Bottom