KKKT -Kunywa Kikombe Kimoja Tanzania

Chimo

JF-Expert Member
Aug 31, 2008
714
360
Wadau nipo hapa mjini Nairobi nimekutana na baadhi ya watu wa hapa maeneo ya Parkland wanaliita kanisa la kilutheri ambalo mchungaji wake mstafu Ambikilile mwasapile anatoa KIKOMBE Kwa ajili ya kutibu maradhi mbalimbali hivyo wakaniambia kuwa tiba inatolewa na kanisa hilo. na ndio maana wakaita kifupi cha kanisa hilo la kilutheri Tanzania KKKT Kwa kiswahili Kunywa Kikombe Kimoja Tanzania
 
Back
Top Bottom