Mungu hakukosea kuweka bahari kati ya Tanganyika na Zanzibar

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Zanzibar ipo mbali sana na Tanganyika ukilinganisha na nchi nyingine kama Kenya, Uganda nk. Hivi ni kwa nini Nyerere aliamua kuiunganisha Znzb na Tangnyk na sio hizo nyingine? Zanzb na nchi ya kiislamu (kwa ambao hawajui) wkt Tangnyk ni nchi isiyo na dini. Nyerere hakuliona hilo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom