Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Matangazo yanayorushwa na shirika la utangazaji Tanzania upande wa Runinga yamekuwa yana katika katika kila mara kwa sie tusio tumia ving'amuzi sijui hii inatokana na nini?au ni janja yao na star...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari nilizozipata kutoka kwa kada wa CCM ambaye yupo karibu na Andrew Chenge ambaye ni pacha mmoja kati ya mapacha watatu wa ufisadi, ana ka-bili ka vijisenti vichache katika hoteli ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana jf ktk pita pita mitaani nimekuta vijana wa darasa la saba wakibishana juu ya mdudu nyoka pindi anapojivua gamba, 1.wengine husema huwa anabadilika hawi nyoka, 2.wengine wanasema huwa anakuwa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
IRANI YATOA DOLA MILIONI 1.2 KUSAIDIA KILIMO KWANZA NCHINI TANZANIA Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu (Kulia),akizungumza na Naibu Balozi wa Irani hapa nchini Bw Bahman...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwasasa vyombo vyote vya habari vya kimataifa vipo kwenyehabari za Osama hivyo NATO itafanya uhalifu juu ya binadamu kwajua watu hawawezi kupata habari kwa wakati!!Maana vyombo vyote macho na...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Ndugu wanajf,kuna msemo unasemekana eti mavaz yanamwelezea mtu kuwa niwa namna gan je hayo niya kweli?
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Baada ya babu kugundua wateja wake wanakunywa dawa na wanakufa kila sekunde wanakufa zaidi ya wagonjwa wawili akaaga kwenda kilio ya mtoto wake ,kumbe ni gear ya kwenda uingerezd
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndg zangu wanaJF hakika ushabiki ni hatari kwani nimepata tetesi ya kwamba washbk wameleteana songombingo ya balaa.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
VATICAN CITY — Some 1.5 million pilgrims flooded Rome Sunday to watch Pope John Paul II move a step closer to sainthood in one of the largest Vatican Masses in history, an outpouring of adoration...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inasikitisha sana katika taifa hili bado kunamatatizo ya kucheleweshewa mishahara. Hivi wahusika kwanini wasifukuzwe kama wameshindwa kuwajibika? Eti sababu Anae sain payrow yupo safari kikazi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
my take Hongera zao watakoshinda kwani naona wanaoshindanishwa wengine ni wapya. Raymond Kaminyoge WAANDISHI habari tisa wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd ni miongoni mwa walioteuliwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
JAMANI HUYU RAIS KIKWETE YUPO DUNIAN AMA NDIO KASIMAMA PALE KIVUKON KAMA MSUKULE WA CCM HIZI TAARIFA ZA CAG KILA SIKU ANA KUJA NA MABILION YAMEPOTEA MABILION YAMELIWA WANAAOKULA WAKOWAPI...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Madereva wamegoma wakidai maslahi yao. Hali ni kizungumkuti. Hakuna usafiri kwenda mikoani. Kamanda Kova anahitajiwa Ubungo lakini bado hajafika. Vibaka nao wanaongeza juhudi za mawindo. Souce...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Sunday, May 1, 2011, 11:21 Habari za Mikoani, Mtanzania Na John Maduhu,Mwanza MAANDAMANO yaliyoandaliwa na Mbunge wa jimbo la Buseta, Dk. Titus Kamani Mlengeya kumpongeza kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu - Majira SAKATA la ukodishwaji wa majengo ya kihistoria katika mji Mongwe Zanzibar, limeingia hatua mpya baada ya Kampuni ya Uwakili visiwani humo kuiandikia serikali barua ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Imeandikwa na Jasmin Shamwepu, Dodoma; Tarehe: 1st May 2011 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma kimepokea ripoti ya Tume iliyoundwa mwishoni mwa mwezi uliopita kuchunguza tuhuma za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
*Yadaiwa uadilifu wao umewatengenezea maadui *Hatua ya kujivua gamba yalinganishwa na kioo Na Tumaini Makene WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiendelea na mkakati wake wa kujivua gamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Used pants ban in Tanzania Many Tanzanians can only afford second-hand clothes The Tanzanian government has banned the importing of second-hand underwear. An official from the Tanzanian...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jk anasema haijawahi kutokea kwanini aseme hivyo? ngoja tumsikie sasa je hatowatukana Wafanyakazi leo?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais umekuwa mwepesi kuliko marais wote niliowahi kuwasikia hapa duniani. Kwanza nijuavyo Rais ni kiongozi na kiongozi ni lazima akae mbele ili aliongoze kundi mahali pa kuelekea. Na kauli ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom