Petrol kenya sh 1320 ya TZ, je kwa nini sisi ishindikane?

bona

JF-Expert Member
Nov 6, 2009
3,798
1,435
Serikali ya jirani zetu wa Kenya imepunguza ushuru wa mafuta kiasi, sasa bei ya mafuta imeshuka na kufika 1320 kwa lita. Sasa ile propaganda ya mkuu wa kaya na serikali yake ya kichovu kua serikali haina cha kufanya kwenye kupanda kwa bei ya mafuta as long as inapanda kwenye world market.

Na hilo limewezakana kwa maandamano kidogo tu sijui sisi hapa tunasubiri nini kama bei iko kwenye 2020 kwa lita? Tena yaliyochakachuliwa hasa. Ni mipango mibovu au ufinyu utendaji wa serikali ktk kufikiria kutafuta vyanzo vingine vya mapato na kunga'ng'ania mafuta peke yake?
 
serikali ya jirani zetu wa kenya imepunguza ushuru wa mafuta kiasi sasa bei ya mafuta imeshuka na kufika 1320 kwa lita? sasa ile propaganda ya mkuu wa kaya na serikali yeka eya kichovu kua serikali haina cha kufanya kwenye kupanda kwa bei ya mafuta as long as inapanda kwenye world market.
na hilo limewezakana kwa maandamano kidogo tu cjui sisi hapa tunasubiri nini kama bei iko kwenye 2020 kwa lita? tena yaliyochakachuliwa hasa!
ni mipango mibovu au ufinyu utendaji wa serikali ktk kufikiria kutafuta vyanzo vingine vya mapato na kunga'ng'ania mafuta peke yake?

hyo bei ni in kenya shngs au Tz shngs?
 
Hebu tujiulize kwanza ni nani anaingiza mafuta Tanzania? inakera sana kuona mafuta yapo juu wakati bandari ni ya kwetu, mbona Uganda wanashusha mafuta Mombasa wanasafirisha mpk kwao bado bei ya mafuta ipo chini ukilinganisha na Tz,

NAOMBENI TU MNIAMBE NANI ANAINGIZA MAFUTA TANZANIA???
 
1320 ya tz..
1320 TZS.
1320 TShs.
shilingi 1320 za kitanzania.
viongozi wetu wavivu wa kushughulisha akili zao.
 
Uliposikia zimechangwa bilioni 16 za uchaguzi kusaidia CCM (zilizotangazwa wazi) hukujiuliza zitarudi vipi? Hizo ndio njia
 
Selikari yetu haina viongozi,wafanya biashara wanafanya watakavyo na mijitu tulioipa dhamana ya kuiongoza nchi,haina habari imekaa tu kazi yao ni wizi tu,JAMANI MMETUCHOSHA aah.
 
Watanzania ni sisi ni waoga sana, wakenya waliandamana juzi tu tayari mambo yamekuwa safi, mafuta yakishuka hata bidhaa nyingine lazima zishuke na maisha yanakuwa nafuu, sasa watanzania tukiambiwa kuandamana utasiki ooh wanataka kupindua nchi, oohh wanataka kuleta vita, ooh wanataka kuondoa amani, uwoga wetu ndio unatugharimu!!!
 
Tsh 1320?! maana Kenya yalikuwa yamefikia 2800tsh kwa petrol!. Lakini kenya wamendamana hadi kufikia bei hiyo?! unafikiri sisi kuishia kulalamika humu kwenye JF kunatosha?! "We have to wake up and stand still for our own rights".! otherwise is better to keep quite and wait for the death!
 
usishae ukatoka kufight for your rights ukaambiwa unataka kuleta vita......kumwaga damu......kuipeleka nchi pabaya.... JAMANI NIAMBENI NANI ANAINGIZA MAFUTA TANZANIA???
 
serikali ya jirani zetu wa kenya imepunguza ushuru wa mafuta kiasi sasa bei ya mafuta imeshuka na kufika 1320 kwa lita? sasa ile propaganda ya mkuu wa kaya na serikali yeka eya kichovu kua serikali haina cha kufanya kwenye kupanda kwa bei ya mafuta as long as inapanda kwenye world market.
na hilo limewezakana kwa maandamano kidogo tu cjui sisi hapa tunasubiri nini kama bei iko kwenye 2020 kwa lita? tena yaliyochakachuliwa hasa!
ni mipango mibovu au ufinyu utendaji wa serikali ktk kufikiria kutafuta vyanzo vingine vya mapato na kunga'ng'ania mafuta peke yake?

FACTS:Ndani ya Nairobi mafuta ya taa Ksh 87(Tsh 1566),petrol Ksh 111(Tsh 1998)
 
Bora wewe umesema. Yaani mtu anaamka na kuanza kuzusha na watu hata bila kuhangika kutafuta ushahidi wanaunga mkono. Mafuta yamepanda bei karibu dunia nzima ukiondoa nchi wanazozalisha. Na huko mara nyingi serikali za nchi hizo huwapa subsidy.
 
Selikari yetu haina viongozi,wafanya biashara wanafanya watakavyo na mijitu tulioipa dhamana ya kuiongoza nchi,haina habari imekaa tu kazi yao ni wizi tu,JAMANI MMETUCHOSHA aah.

ongeza na kulialia hadharani
 
1320 ya tz..
1320 TZS.
1320 TShs.
shilingi 1320 za kitanzania.
viongozi wetu wavivu wa kushughulisha akili zao.
Hatuna viongozi mkuu. Tuna makatuni yanarukaruka tu bila kujua lolote.yamelala, yenyewe kwa sababu yanaweza kumudu maisha hayajali. Takataka! Futa kauli yako mkuu. Samahan kama nimekukera.
 
tatizo ni kwamba tanzania ni great country of fisads na ndo mana kwenye vitu vingi price inakuwa juu 4 their own benefit
 
Baada ya kilio cha wananchi na mpango wa kuandamana, serikali ya Kenya ilitangaza kupunguza ushuru wa mafuta! Ndio mafuta kote yamepanda bei lakin kuna kitu chaweza fanyika ili kuwapunguzia wananchi makali! Kukaa kimya kwa serikali yetu sio suruhisho!
 
Hizo si habari za kweli,bei ya mafuta nairobi leo saa sita mchana ilikuwa ni kshs 111 ambayo ni sawa na tshs 1945.Nimejaza mafuta binafsi kwa bei hiyo,japo ni afadhali kidogo compared to Tz lakini sio tshs 1320!
 
serikali ya jirani zetu wa kenya imepunguza ushuru wa mafuta kiasi sasa bei ya mafuta imeshuka na kufika 1320 kwa lita? sasa ile propaganda ya mkuu wa kaya na serikali yeka eya kichovu kua serikali haina cha kufanya kwenye kupanda kwa bei ya mafuta as long as inapanda kwenye world market.
na hilo limewezakana kwa maandamano kidogo tu cjui sisi hapa tunasubiri nini kama bei iko kwenye 2020 kwa lita? tena yaliyochakachuliwa hasa!
ni mipango mibovu au ufinyu utendaji wa serikali ktk . Wenzio ndo wanapatia pa kukamulia kodi huko na pia ni wafanyabiashara wa wese kabla ya kuukwaa ukulu na ndo maana usitegemee miujiza.
 
Bora wewe umesema. Yaani mtu anaamka na kuanza kuzusha na watu hata bila kuhangika kutafuta ushahidi wanaunga mkono. Mafuta yamepanda bei karibu dunia nzima ukiondoa nchi wanazozalisha. Na huko mara nyingi serikali za nchi hizo huwapa subsidy.

kusema ukweli mimi nilijaza mafuta pale namanga kama wiki nne zimepita. Ni ndani ya kenya na kituo cha kobil nilitoa tzs 1700 kwa lt. Tena kwa kunichakachua. Na kama ukienda ROMBO pia wese huwa cheap kwa kuwa wanatoa Kenya pia. Hapa kwetu tuna tatizo hatujalijua.
 
Back
Top Bottom