Nasikia jengo la UVCCM wanauza apartment Hebu nijuze je sisi wana opozisheni tutapat? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nasikia jengo la UVCCM wanauza apartment Hebu nijuze je sisi wana opozisheni tutapat?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Songasonga, Apr 30, 2011.

 1. S

  Songasonga Senior Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesikia fununu kuwa lile jengo lefu la UvCcm sasa unaweza book apartment Hebu wanaojua watuambie na je nikinunua nitapewa hati? Wakati mmiliki ni CCM ?
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Kwenye pesa akuna CCM .wewe nenda kachague lipa upewe apartment.
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mimi nataka kuuza magwanda ya chadema kutoka afrika kusini natafuta apartment kama nitapata hapo kwenye hilo jengo la uvccm nitafurahi sana.
  maana nimetafuta katikati ya jiji nimekosa nisaidieni waungwana.
   
 4. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kwenye masuala ya kupangisha haulizwi chama bwana mkubwa.we
  nenda fungua business na kwenye hayo magwanda changanya na vazi la kijani pia
   
Loading...