TANROADS MORO MNAMHUJUMU MKULO AU kILOSA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANROADS MORO MNAMHUJUMU MKULO AU kILOSA?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MIGNON, Apr 30, 2011.

 1. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,586
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Tangu mvua za masika zianze kumekuwa na usumbufu usio wa lazima kwa watu wanaosafiri kwenda Kilosa.Inabidi ukitokea Moro upitie Dumila safari ambayo huongeza zaidi ya Kilometa 50.
  Tatizo lipo Mkata,Manzese na Chanzuru.
  Mkata barabara ilikatika na vikawekwa vifusi bila kusindilia na matokeo yake magari yamekuwa yakikwama mno.Chanzuru kuna Mkandarasi anafanya light grading na kuna sehemu ndogo ambapo magari yamekuwa yanakwama na kutengeneza shimo kubwa ambalo sasa ni wiki ya pili hakuna gari inayoweza kupita;hii ina maana ya kuwa hata mgonjwa anayetoka kituo cha afya Kimamba inabidi aende mpaka Rudewa almost 12 kilometres kabla ya kupata barabara ya kwenda kilosa.
  Mazense kuna seasonal river ambayo inaleta mchanga mara kwa mara;sehemu hii imekatika kiasi ambacho magari makubwa yanapata taabu mno kuvuka.
  Tanroads naamini sehemu korofi ni ndogo mno na hazihitaji gharama kubwa ila inaelekea hamtaki kutoa kipaumbele.Mnamkomoa nani????
   
Loading...