Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya kupita miezi 116 tangu kujiri tukio la Septemba 11, hatimaye Wamarekani wametangaza kumuua Usama Bin Laden kiongozi wa mtandao wa al Qaeda. Akitangaza habari hiyo huko White House, Rais...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa hapa bongo siku hii itaazimishwa Jijijini Dar ambapo pamoja na mambo mengine zitatolewa tuzo kwa waandishi waliofanya vizuri kwa mwaka 2010 Kwa maoni yangu uhuru wa habari tanzania upo ila...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nimeona kwenye TV kama vile kulikuwa na waandishi maarufu kwenye conference ya CCM kama vike kibanda, balile, mapinduzi, mkumbwa, kingoba, mhagale, na wengine wengi....kamshiko hakajatembea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Natafakali kwakina kila nikichemsha akili yangu naona ushindi wa Democrat njia ni nyeupe! Hebu jf lete mawazo yako
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Amid the justified celebrations over the killing of Osama bin Laden, an awkward question is starting to rear its head: Did U.S. policymakers err in burying the al Qaeda leader at sea? Already...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkuu Admin, kwa huzuni na taadhima, naomba kama upo uwezekano liwepo JUKWAA la Malenga maana wapo wengi na wenye uwezo wa kupanga verse kwaetu sisi twawaita wazee wa VINA na VISHARI, kuna jukwaa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
WASWAHILI husema tembea uone. Nilidhihirisha usemi huu pale nilipokuwa katika kisiwa cha Mafia kilichopo ndani ya bahari ya Hindi hivi karibuni nilipokuwa katika safari zangu za kikazi.Jambo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
jamani naombeni ufafanuzi happ wa kisheria, hasa hapo kwenye maandishi mekundu nawasilisha Waziri amfumania Mwalimu akiwa mlevi chakari Na Thobias Mwanakatwe Mwalimu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikuwa napita kwa Web ya Wizara ya Fedha na Uchumi ghafla nikakutana na hiki kitu. Kiumri inaonekana kama imepitwa na wakati lakini kimantiki inaweza kuwa na msaada na mahali pazuri kuanzia pa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba nimfahamu huyu Muhariri wa TZDAIMA kwa undani. Hii imekuja baada ya Mabosi wake yaani CDM wakipambana kupinga ufisadi.Yeye anakuwa opposite side. 1)Ameoa mtoto wa karibu na mapacha wa 3...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimealikwa kujadili hali ya ugonjwa wa malaria kesho asubuhi,najua mna mengi mwataka yajua kuhusu dalili,tiba na madhara yake....tupia jicho.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Na Moses Mabula, Tabora NAIBU Waziri wa Ujenzi, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kwamba kitendo cha Sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujivua Gamba kimeleta heshima ndani chama hicho...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katibu mkuu wa CCM amesema kuwa katika kikao kikuu cha halmashauri kuu ya CCM iliyokaa mjini Dodoma haikumtaja mwanachama yoyote wa chama hicho kuwa ni fisadi! Pia alitolea mfano dhana ya kujivua...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hadi jioni hii (6:30PM tarehe 2/5/2011) watumishi wa serikali wa JMT hawajapata mishahara yao na mbaya zaidi hakuna maelezo yoyote ya kiofisi (official press release) kwamba what happened? Je...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna habari za kuaminika kutoka ndani ya TANESCO Arusha kuwa mgao ulioanza tangu tarehe 1/11/2010 hadi leo maeneo ya Kimandolu ni visasi vya kisiasa vya kuwakomoa wananchi wa maeneo hayo kwa kumpa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
VIDEO: Mbwa ndani ya Bin Laden compound ABC News obtains video from inside the Osama bin Laden compound | Raw Replay
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwaka 1963 baada ya Kenya kujipatia uhuru, bwana Mwai Kibaki alikuwa mjumbe kwenye 1st post independence cabinet, wakati huo Bwana Barack Obama alikuwa bado hajazaliwa kwani amezaliwa 1964. Hadi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pamoja na kwamba wahusika wamefumbia macho swala la kuweka Radio kwenye Bajaj na Pikipiki lakini nionavyo mimi jambo hili linahatarisha usalama wa watumiaji wa vyombo hivyo na watumiaji wa...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
'Kigogo' mmoja wa Umoja wa 'Vijina' wa CCM(jina ninalo) amenidokeza kuwa kumbe yule Babu wa Loliondo ni mradi wa Waziri Mkuu Mjiuzulu,Edward Ngoyai Lowassa(Sanaa-UDSM).Amesema kuwa Lowassa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Well done!!!Osama ameuwawa je hilo nisuluhisho la kumaliza ugaidi duniani?Kwani ugaidi nizao la marekani juu ya uislam dunia nzima hivyo wa marekani wasibweteke nakushangilia kwa kuuwawa...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Back
Top Bottom