Swali hivi Nyoka anapojivua gamba hubadilika kuwa Sungura?

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Wana jf ktk pita pita mitaani nimekuta vijana wa darasa la saba wakibishana juu ya mdudu nyoka pindi anapojivua gamba,
1.wengine husema huwa anabadilika hawi nyoka,
2.wengine wanasema huwa anakuwa hana sumu na wengine wakadiliki kusema ni bora ukimwona anajivua gamba umwue kwani huwa ana sumu kali
3.Lakini wengine walifika mbali sana kwa kusema huwa ana oga ndio maana analivua gamba ili awe msafi.
4.Wengine wakasema anapojivua gamba bado ni nyoka tu

hehehehehehe,wewe unaejiita great thinker unawaambiaje vijana hao?

215258_205551352810185_100000659652476_636174_2319041_s.jpg
 
Baada ya kujivua gamba na lingine kuota huwa na sumu kali zaidi kuliko kabla!! Kwa hiyo CCM ikijivuua gamba na kuotesha lingine itakuwa fisadi zaidi!! LOL!
 
TENA ANATENGENEZA SUMU MBAYA KABISA,LAKINI MI NAONA M2 WA KWNZ AMBAYE ANGESITAHILI KUJIFUA GAMBA NI M/KT WA CCM,nimept tuuu!!
 
Nyoka akijivua gamba hubakia nyoka yule yule kwani ni tabia na asili yake......

Lililobakia ajivua hadi ngozi na damu mwili wote, ili afe na azaliwe chatu (chadema) atakayechukua nafasi yake maana yeye hana cha kujivua, always yupo kama alivyo
 
Yaaaaaaaaan tena ukimkuta anajivua anakuwaga mkali kama Nape Nyauye anavotoa itikadi zake na kueneza propaganda kwa maaskofu
 
Teh teh, CCM inaufinyu wa kufikiri, yaani hawana think tank kabisa, walikaa wakaona hii ya kujivua gamba ndio babu kubwa kumbe wakasahau kufikiri uhalisia wa nyoka kujivua gamba huwa anamaana ya kuendeleza alokuwa akifanya kwa kasi zaidi, ari zaidi na nguvu ipo.So ..............................................!!kazi kweli kweli.
 
akijivua gamba anarudi upya na kwa kasi ya ajabu! sooo watu wa magamba wanatuchakachua wa tz c lolote wala chochote!wizi mtupu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom