Babu loliondo Aacha wagonjwa kwenye mataa

Babu loliondo Aacha wagonjwa kwenye mataa

Owuocha

New Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
4
Reaction score
0
Baada ya babu kugundua wateja wake wanakunywa dawa na wanakufa kila sekunde wanakufa zaidi ya wagonjwa wawili akaaga kwenda kilio ya mtoto wake ,kumbe ni gear ya kwenda uingerezd
 
tehe tehe tehe! Uwiiii mbav zang! Kwa hyo tar 2 hatakuwepo km alivyotuahidi?? Hz news chanzo chake ni wp???
Baada ya babu kugundua wateja wake wanakunywa dawa na wanakufa kila sekunde wanakufa zaidi ya wagonjwa wawili akaaga kwenda kilio ya mtoto wake ,kumbe ni gear ya kwenda uingerezd
 
baada ya babu kugundua wateja wake wanakunywa dawa na wanakufa kila sekunde wanakufa zaidi ya wagonjwa wawili akaaga kwenda kilio ya mtoto wake ,kumbe ni gear ya kwenda uingerezd
uingereza ana washirika??
 
hehehe .. alialikwa kwenye royal wedding .. atarudi kuendelea na tiba
 
ujinga unawasumbua ninyi, babu wa ukwel yuko samunge anachapa kazi kama kawa.
 
Alex leo katemeshwa bublish(chewing Gum) na watoto the Gunners
 
Mwny kureport labda anafikiri Babu kaenda kuwanusu washbk wa Man United wenye kupoteza donge mdomoni. Babu halisi yupo.
 
Back
Top Bottom