Jamani Chenge kiboko! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Chenge kiboko!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanakili90, May 1, 2011.

 1. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Habari nilizozipata kutoka kwa kada wa CCM ambaye yupo karibu na Andrew Chenge ambaye ni pacha mmoja kati ya mapacha watatu wa ufisadi, ana ka-bili ka vijisenti vichache katika hoteli ya kitalii ya DODOMA HOTELI.

  Imethibitika bili hiyo ni ya chumba kimoja ambacho kimelipiwa kwa miaka mitano na huwa hakipangishwi kwa mteja yoyote. Pacha huyo ana nyumba nzuri ya kifisadi maeneo ya UZUNGUNI mjini DODOMA ila huwa haitumii ili kuipunguzia serikali gharama!
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135

  Amevunja miiko ya azimio la arusha ... afukuzwe kwenye chama ... bila hata kigugumizi cha kumpelekea barua!!
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,043
  Likes Received: 3,069
  Trophy Points: 280
  Weweeee,huyo fisadi aionee serikali huruma kwa lipi,fisadi ni fisadi tu na nyoka ni nyoka tu hata asiye na gamba anabaki kuwa nyoka tu
   
 4. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Rweye iyo ni lugha ya uandish nazani msg imefika
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,562
  Likes Received: 18,294
  Trophy Points: 280
  Mwanakili90, habari kama hizi, ndizo zinazoishushia hadhi jf mbele ya jamii.

  Habari uliyoileta haina mashiko, simple logic haikubali eti mtu anapanga chumba hoteli kwa miaka 5 mfululizo hata kama yeye ni bilionea!.

  Labda tuu niwasaidie kwa ufahamu wangu kuhusu hii biashara ya hoteli kwa jina la hospitality industry. Hoteli nyingi zina vyumba viitavyo presidential na wakati mwingi huwa reserved wakati wote kwa matumizi ya top management au VIP's. Hivyo kuna baadhi ya wabunge na hata mawaziri huwa na prefgerence ya kuishi Dodoma hoteli wakati wote wa kipindi cha bunge just for networking licha ya kutengewa nyumba maalum na serikali.

  Ukiangalia at a bigger picture, its cheaper Waziri akikaa Dodoma hotel kuliko akikaa kwenye nyumba aliyopangiwa.

  Akikaa Dodoma hoteli atatumia rough estmate ya shiling 100,000 per day. Akiishi kwenye nyumba ya serikali, sio tuu atatumia fedha hizo hizo, bali pia atatumia kulisha weatu wengune 5, walinzi wawili, wafanyakazi wa ndani wawili, mwangalizi wa nyumba 1, hapo sijamuhesabu dereva na msaidizi wa waziri.

  Kama mtu ana vijisenti vyake, kaamua kuishi hotelini, what is a big deal?.

  Issue ya hawa mapacha watatu ni tusubiri hizo barua tuone vigezo vitakavyotumiwa, sio tunapoona mapacha watatu wako maji ya shingo, basi ndio tuwafunge majiwe shingoni ili wazame kabisa!.
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  ndio maana laana zinamuandama, kila siku aibu hazitomuacha. Ajiandae kufumaniwa akitaka kumnyonya damu zeruzeru
   
 7. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona unajitahidi sana kuwatetea,ni nduguzo nini?au kuna pc unapewa?
   
 8. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  we pasco unasumbua!! Ivi ni habari ipi unayotaka iwekwe humu? Kuijulisha jamii kuhusu mambn yanayohusu viongozi wao ni kosa? Wewe hujawai hata kupanga chumba cha hoteli japo hata wiki moja,ila kuhusu hili la miaka mitano kwako waliona ni jambo dogo? Uwe unakua my fellow!
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  sasa chenge ni waziri au mbunge?nieleweshe mkuu.
   
 10. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nadhani anaugonjwa wa.......
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  May 1, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu hata mimi nimeshindwa kukuelewa!! yeye siyo waziri ila niliwahi kusikia kuwa tangia alivyoteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali alikweka vyumba viwili pale dodoma hotel kwa ajili ya shughuli za bunge (tetesi) na alivyo teuliwa kuwa waziri wa miundombinu aliambiwa akaishi rest house lakini akataaa na kuendelea kuishi dodoma hotel. Sijui hadi sasa kama bado anaishi huko na kama anaishi huko basi atakuwa kailipa toka mfukoni mwake. Hapo awali alikuwa akilipiwa na serikali kwa kuwa alikuwa serikalini. Pamoja na hayo mkuu umesema kwamba akiishi (assumption: Waziri) hotelini inakuwa nafuu ukilinganisha na akiwa nyumbani na umetaja dereva, wafanyakazi, walizni, n.k. Ina maana akiishi hotelini anakuwa hana dereva wala msaidizi? Mimi najua akiishi hotelini serikali inalipa na wasaidizi wake wote hao wanalipwa pia. Hakuna saving hapa kaka ila gharama juu ya gharama.
   
 12. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Bora useme!
   
 13. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwani serikali haikujua hilo ilipoamua kumpa nyumba. Hivi hawa wote uliwataja kwenye red wataajiriwa wapi kama sio kwa mtu kama huyu. Vyanzo vya ajira vitapatikana wapi? Usiwe mwepesi wa kutetea uzembe kama huu mkuu! Kinachomfanya akae hoteli hata wewe unakijua na wala sio kupunguza gharama!
   
 14. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hawana habari,sisi tuliopata bahati ya kushudia vikao vya hawa jamaa huku dom,hua tunaona mengi, HUA WANAWEKA PLATE NAMBA ZA BANDIA ILI KUFANYA MAMBO YAO YA DUNIA NA MAGARI YA WALIPAKODI WA NCHII HII,NA BDO HAWAAMBIWI LOLOTE
   
 15. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ana chumba pia Kempinski-Dar pamoja ya kuwa na nyumba Oysterbay hii inadhihirisha huyu mzee ni fuska.Pia ndigu wa wale wasichana aliwauwa baada ya kugonga bajaj walidai alikuwa anafahamiana nao akifikia kwenye hoteli Mwanza ambapo pia ana chumba cha kudumu.
   
 16. A

  Anold JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,381
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Mapacha watatu ni chatu wakali kwa kuwa ccm inajaribu kuwarushia gongo kitakachotokea ni aibu kwa ccm maana ninavyowafahamu hawatakubali waondoke hivihivi lazima watoke na mtu!!!!
   
Loading...