Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

People with coronary artery disease are at greater risk of dying if they have fat around the waist, a study shows Published: 5:28am, 3rd May 2011 Updated: 7:30pm, 3rd May 2011 People with...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna habari za mbunge wa CDM kukamatwa na polisi na kupelekwa jimboni kwake haijajulikana tatizo ni nini na ni mbunge gani. Source. Vichwa vya habari nipashe
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni jambo la kusikitisha sana kuona mpaka leo tarehe "33" bado watumishi wa wilaya ya Urambo wanaowakilishwa bungeni na mh. Sitta na Kapuya hawajapata mishahara yao. Tabia hii ya kuchelewesha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati Papa john paul wa pili ametangazwa kuwa mwanaheri uongozi wa kanisa la afghanistan umeomwomba Pope kumtangaza Osama bin laden kuwa Mwanaheri ifikapo mwishon mwa mwaka huu wakiongea kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Govt mulls sops to encourage hybrid car manufacturing in India - Economic Times hii itakua njia mojawapo ya kupunguza matumizi ya serikali endapo serikali yetu itaamua kwa dhati kabisa kuanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Do not regret growing older. It's a privilege denied to many." Hi. Please teach me about the meaning of it. I'm at a loss how to interpret this saying. My try. Don't regret to become an old...
0 Reactions
1 Replies
15K Views
New York City, NY: The mayor of New York City, Michael Bloomberg, says it would be a good idea to staple green cards to the diplomas of all foreign students who earn a graduate degree in the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimefuatilia mwenendo jumla wa mijadala hapa JF kwa siku za karibuni, imeona kama tunarudi nyuma badala ya kusonga mbele! Siku hizi watu wamekuwa wakivutiwa zaidi na mambo rahisi na udaku. Yaani...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau, Wahenga hawakukosea waliposema utatambua matendo na moyo wa mtu kwa kauli zake, na mtoto wa nyoka ni nyoka. Kwa nasaha hizo za wahenga tunangalie kauli mbili tu za Ridhiwani Kikwete...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hello JF Member! Nime experience huduma ambazo siyo nzuri za strategis company. Vipi kuna aliye experience hiki kitu?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu naombeni msaada,nna mdogo wangu wa kiume kamaliza form six mwaka huu kapata divition three points 17 ,HGL-(hist-f,Geog-d na lang-e) je ataweza kujiunga na diploma course yoyote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hey Great thinkers!!!!!!! natatizwa kidogo, eti msomi(so called educated) ni nani? aliyemaliza darasa la saba, form four, six ,degree,masters,pHD? naomba nijuzeni maana hili neno msomi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama mtakumbuka malikuwepo kijana mmoja anaitwa BABU alikuwa anatibu magonjwa sugu likiwemo ukimwi kwa kusoma kuran...huyu jamaa alikuwa anakaa tegeta/bahari beach kwenye ghorofa kubwa na alikuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
UINGEREZA imemfukuza balozi wa LIBYA nchini humo kufuatia shambulio lililofanywa na kundi la watu katika ubalozi wa UINGEREZA mjini TRIPOLI nchini LIBYA. Waziri wa mambo ya nje wa UNGEREZA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wiki iliyopita nilikuwa huko Masasi kwa shughuli za kikazi. Nilipita katika hospitali ya Ndanda, hali niliyoikuta ilinisikitisha. Kulikuwa na vijana kama sita waliokuwa wamekatwa miguu kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MKURUGENZI Mtendaji (DED) wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro, Ephrem Kalimalwendo, ametangaza kumburuza mahakamani mkuu wa wilaya hiyo, Halima Dendego kwa madai kuwa, amemzulia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
sophia simba alipoituhumu CDM kuwa inafadhiliwa na mataifa ya ulaya kuchochea vurugu, makada wa CDM walisema watamburuza mahakamani lakini hadi sasa ni kimya chenye kishindo...ilikuwa ni kutishia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu sijui wangapi waliangalia taarifa ya habari jana kwenye ITV lakini kinachoendelea Iringa ndio hii hapa baada ya matatizo ya maji huko. Eti huyu jamaa alikua hataki watu wachote maji kwa hio...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya kupita miezi 116 tangu kujiri tukio la Septemba 11, hatimaye Wamarekani wametangaza kumuua Usama Bin Laden kiongozi wa mtandao wa al Qaeda. Akitangaza habari hiyo huko White House...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
PAMOJA NA RIPOTI MKUU UMENIMALIZA KABISA SIJUI PA KUANZIA ANAONEKANA MKURUGENZI ALIEACHIWA MSALA WA TANESCO AKIMNONGONEZA CAG AMBAE ANAONEKANA KAMA AMSIKII VILE NIHURUMIE BASI NIREKEBISHE NDUGU...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom