Walimu kigoma washerehekea mei mosi bila mishahara

MSEHWA

Member
Apr 21, 2011
15
0
Inasikitisha sana katika taifa hili bado kunamatatizo ya kucheleweshewa mishahara. Hivi wahusika kwanini wasifukuzwe kama wameshindwa kuwajibika? Eti sababu
Anae sain payrow yupo safari kikazi. Hivi mfanyakazi huyu tunamkomboa au tunamdidimiza? Je, chama cha walim hamlioni hili?
Chama cha wafanyakazi hamlioni?
 
besti unatuvurugia mudi ya wk end!!

humu ni MMU!!! kwanza hao walimu wenyewe hawapo!! watu wanaoweza kutandikwa bakora?? acha wajitetee wenyewe bana!!
 
hii topic nzuri sana
ila ingekuwa kwenye siasa ungepata maoni zaidi..
wape mods muda watakusaidia kuihamisha ...
 
Nashangaa kuona walimu waliopandishwa madaraja tokea mwaka jana mwishoni hawajaanza kulipwa. Je ilikuwa kiini macho au daganya toto. Mbona Rais kasema waajiri wasiwapandishe wafanyakazi kama hawana uwezo wa kuwalipa. Hayo madeni yanayotengenezwa nani atayalipa?
 
Back
Top Bottom