Mavazi yetu tunayovaa yanatuelezea sisi tulivyo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mavazi yetu tunayovaa yanatuelezea sisi tulivyo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by IRAQW MINING, Apr 24, 2011.

 1. I

  IRAQW MINING Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wanajf,kuna msemo unasemekana eti mavaz yanamwelezea mtu kuwa niwa namna gan je hayo niya kweli?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Vimini vinasema nini kuhusu mvaaji?Suruale je?Kaptula?Gauni?Baibui?Tshirt??Suti?? Inawezekana ikawa kweli kwa kiasi kidogo ila huwezi kujudge mtu kwa vazi alilovaa maana vazi sio tabia binafsi ya mtu.Ni interest tu kama ulivyo mziki...kwasababu tu mtu anasikiliza reggae au rap haina maana anavuta bangi!Tujifunze kuangalia zaidi ya mavazi!
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Sio kweli.
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Well said Lizzy..
   
 5. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kuna ukweli ndani yake kwani kila vazi lina ashiria tabia ya mtu, jersey zinavaliwa na wanamichezo, kanzu ni vazi la kawaida la asili ya mashariki ya kati, joho ni makanisani na majaji na ni vazi la kawaida la watu wa afrika magharibi. Bikini huvaliwa beach na zipo za aina tofauti tofauti, Suruali zipo za jeans huwezi kuvaa Bungeni na haipendezi kuvaa kwenye nyumba za ibada. Overall ni nguo za mafudi, apron zinavaliwa na wapishi, magwanda yanavaliwa na askali nazo ziko aina aina kulingana na jeshi lenyewe. Vimini, vitop, vibano, nguo nyepesi na laini, vinavyo acha sehemu kubwa ya mwili wazi, mipasuo ya kutisha, milegezo na kata-K ni vya kutokea night kwenye starehe. Suruali za vitambaa ni vazi linalo kubalika sehemu nyingi. Mashati kwa wanaume mengi ni ya kawaida na hayana ukakasi kwa maeneo mengi.

  Ukikosea kuvaa mavazi haya na ukavaa maeneo siyo, utaonekana una lako jambo! Watu watakushangaa na utaonekana kama kituko na utapachikwa majina ya ajabu ajabu kulingana na muonekano wako!
   
 6. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ukweli+Uongo! Kama vile ambavyo inaonekana hata ktk mambo ya imani, ni kwamba mavazi hutangaza hali ya mtu lakini wakati huo huo mtu anaweza kuwa smart akawa ndiye mwizi! Hata wavaa baibui wengi ndio watenda maovu wakubwa kama= kuiba waume za watu! Kuvaa mabomu na kuuza mirungi, bangi na madawa mengine ya kulevya! Take care! Mavazi mengi yanayoonekana ya heshima yamesababisha matatizo makubwa na vilio kuliko yale yanayoonekana hayana heshima! Maana yule aliyevaa kihovyo utakuwa na taadhari naye. Lakina hata mwanamke akivaa kiheshima hata kama ni changudoa huwezi jua na unaweza jikuta unafanya maamuzi yatakayokuja kukugharimu sana, kwanza utamchukua kwa gharama kubwa ukifikiri ni mke wa mtu! Pili unaweza jikuta unamwamini kiasi hata cha kutotumia mpira kama wewe ni kicheche! Tatu unaweza jikuta unaoa kabisa kumbe umechukua kimeo! Wewe angalia wenawake wengi wanaoumiza watu huwa wamekaa zaidi kistaarabu, ni malaya lakini hadi pete za ndoa wamevaa.. Afadhali mtu anayeonyesha uhalisia wake tujue moja! Ila wengine mavazi ni hoby tu na mazoea ya mazingira waliyozoea! Huo ni mchango wangu na taadhari kwa watu wanaofikiri kuwa siku zote lazima mtego uwe na nyama! La hasha siku zingine hueka hata gunzi tu ili usishtukie kuwa unategwa wewe! Hizo mbinu za mavazi hunasa wenye tamaa nyepesi lakini Maofisa na watu wenye misimamo na wenye heshima zao hunaswa na watu wanaovaa kiheshima, wenye magari yao, wanaoenda hoteli kubwa, wanaonunua vinywaji vya bei ghali sii, safari lager:
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Umesomemeka lizzlie
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  <p>
  </p>
  <p>&nbsp;</p>
  wifi muambie huyo,afu hivi vile vimini tulikutumia vilifika kweli?manake nahisi uchakachuaji unaendelea
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Apr 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Sina hakika..
   
 10. vena

  vena JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio sahihi mara zote....some times yes sometimes no
   
 11. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Ukweli+ Uongo utamu kolea!
   
 12. katabu

  katabu JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Anko sam, hapo sawa. Tunashindwa kuelewa kuwa tunapovaa mavazi yetu ni kwa utukufu wa nani!! Haijalishi umevaa kwa lengo gani ama nafsi yako ikoje! Lakini vazi lako litakutambulisha wewe ni nani hata kama hauko hivo. Ukivaa magwanda ya Jwtz, wakati ww sio, utaona tu. Halikadharika kimin,kitop, kipedo nk, ukivaa hayo hatakama ww cyo kahaba utaonekana kahaba tu. Tujue kuwa, kila tufanyapo jambo lolote iwe ni kwa utukufu wa Mungu. Kumbukumb22:5. Umeona! Kwahiyo ukivaa gauni kama ww ni mwanamme ni machukizo kwa Mungu. 1Wakor6:19-20
   
 13. M

  Mundu JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2011
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hivi kama Demu aanavaa suruali mlegezo, au kijana anavaa jeans kata K! Ama sister du, anavaa Jack/kabali inayoachia na kuonyesha matiti yake mchana kweupe! Kweli haielezei tabia ya mtu?
   
 14. katabu

  katabu JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Vena lazima ujue, cyo Yes or No. Hata akili yenyewe itakwambia tu. Surual yako unapotoa haja ndogo unafanyaje? Je mwa'ke akivaa salawil yake ghafla haja ndogo atafanyaje? Lakin akivaa gaun!! Mambo safi. Tii neno la Mungu cyo taratibu na shida za wanadamu.
   
 15. katabu

  katabu JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hakuna maswali kaka. Wote ni muhuni tu. Hata kama cyo lakini mavazi yamewatambulisha.
   
 16. I

  IRAQW MINING Member

  #16
  Apr 25, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thnx bro umenyambulisha vilivyo
   
 17. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  vivazi vinamreflect mtu mambo yake mengi,japo kuna watu huvaa kwa kusudio flani,ie baibui ili asitambulike nyendo zake au expensive na smart kwa minajili ya utapeli lakini ule upendeleo wa mavazi ya aina fulani huendana na tabia yake kama ni muadilifu,mpole,sharobaro etc
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hehehe..nimepata wifi sema naogopa kuvaa watu wasije wakaanza majungu!
   
 19. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #19
  Apr 25, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Ceteris paribus, mavazi yanaelezea tabia ya mtu!
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Kwa kinadada, uvaaahi wa suruali una lengo la kuonyesha maungo yao. Yawezekana wanaonyesha ili watongozwe au basi tu wanaonyesha ili na wao waonekane wapo tu lakini kiuhalisia suruali hazistahili kwa mwanamke
   
Loading...