Sio kweli, tbc1 ina tatzo kwa ujumla, uwe na king'amuzi usiwe nacho huwa wanakatika! Tena kuna wakati uktaka uipate vizuri inabd udisconnect king'amuzi. Wanakera inabd wacheki vizuri mitambo yao.Matangazo yanayorushwa na shirika la utangazaji Tanzania upande wa Runinga yamekuwa yana katika katika kila mara kwa sie tusio tumia ving'amuzi sijui hii inatokana na nini?au ni janja yao na star times kutulazimisha kununua hivyo ving'amuzi?