HESLB(Bodi ya mikopo Tanzania) requirement to employer to deduct 10% of employees net pay. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HESLB(Bodi ya mikopo Tanzania) requirement to employer to deduct 10% of employees net pay.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tsidekenu, May 16, 2011.

 1. T

  Tsidekenu Senior Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Bandugu,

  Majuzi sisi kama employers tumepokea barua kutoka bodi iliyotajwa hapo juu kutuagiza kuwa from now on wards tuwe tunawakata wafanyakazi wetu 10 % ya net pay yao kama marejesho ya mikopo yao ya elimu ya juu waliyoipata wakati wanasoma.

  Sielewi mwanzoni kalculations zao zilikuwaje lakini kwa barua hii mtu aliyekuwa analipa 30500 atatakiwa alipe 100500, etc. Sisi tunadhani hii si sawa. Naomba maoni yenu kama ifuatavyo.

  a) Kwa wanasheria - je ni sawa kisheria kwa bodi hii kupanga na kurevise payment plan bila kuwashirikisha wadaiwa?

  b) Kwa waajiri wenzetu - mmelichukuliaje hili na nini mpango wenu kwa kuzingatia kuwa kisheria tunawajibika kufanya haya makato.

  Asanteni kwa michango yenu.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,620
  Trophy Points: 280
  hii si sawa kabisa, ka sababu mishahara haijaongezeka na gharama za maisha zimezidi kupanda,
  au ndio wanakabiliana na ile kauli ya ZITTO kuwa serikali haina pesa? Zitto alisema ukweli na tutaona mengi tu sasa hivi
   
 3. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  mkuu hapo kwenye red hembu review kidogo au mimi ndo sijaelewa mahesabu? maana hata haiji either way! kamaa ulimaanisha 305000, 10% itakuwa 30500 na wala sio 100500.. ila kubwa zaidi mtu awe na salary ya 30,500 the akatwe 100,500 kama ulivyoandika au hiyo barua ndo imekosewa? cha muhimu tu discuss hiyo 10% ya take home uliyosema ila mfano unaweza kuwamislead watu!!! hembu kama unaweza iweke vizuri ili watu wachangie maana ni issue senstive sana
   
 4. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hao bodi ya mikopo wezi tu, mi wananikata karibu 32000 (not 10%) kwa mwezi ( now almost for 3years), na nadaiwa karibu 2,215,000 ( sikumbuki) kwa hiyo wakisema wakate mshahara wa mtu 10% itakuwa vurugu na tutaivunja hiyo bodi sisi wenyewe badala ya serikali.
   
 5. T

  Tsidekenu Senior Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
   
 6. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  May 16, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Kaka umesikia mambo hayo, sio unafurahia boom tu, kuna marejesho vile vile!
   
 8. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #8
  May 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kwanza kabla ya makato hayo,anayetakiwa kukatwa ni lazima aelezwe anadaiwa sh ngapi na body na lini makato yatakoma,hii itamsaidia mdaiwa kujuwa kiasi na mwisho wa deni

  kwa tuliokopa hatuna ujanja ni lazima tulejeshe ili hata wajukuu zetu waje faidi mkopo huo
  tatizo linakuja hapo ktk % ya ukataji kulikuwa na umuhimu wa kuwashilikisha wahusika la sivyo kuangalia hali halisi ya maisha kwa sasa,ili makato hayo yasimwongezee mhusika ugumu wa maisha
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Ni haki ya msingi mdaiwa kujua deni lake halisi.Lakini pia sheria iliyotungwa kudai pesa hizi ilikuwa na kasoro nyingi ikiwa ni pamoja na vigogo na mafisadi waliosoma zamani hawajahusishwa, ni watu ambao wana uwezo mkubwa tu wa kulipa kata kwa par.Kwa nini wasitafutiwa equivalence nao walipe?Nina machungu...,wizi mtupu.
   
 10. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #10
  May 16, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Sio Haki ila wanatakiwa kulipa, Si walichukua kodi za Raia!

  Ila wanaweza vipi kukujua maana najua Hii system ya kupewa loan number imeanza hivi karibuni!, Alafu wanaanza kukata kwanzia mwaka Gani??
   
 11. k

  kabombe JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 15,607
  Likes Received: 8,551
  Trophy Points: 280
  Huna haja ya kulalamika,acha mkopaji aseme,lakini kama umekopa wewe lipa tu ili wenzako nao wasome,mshahara hapo haupungui laki 7,unataka kulipa 30,000 lol!unakua kama wapangaji wa kota za magomeni,wanalipa 450,kodi imeongezwa hadi 5000,wameenda mahakamani
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,620
  Trophy Points: 280
  mimi sisomi wewe, mjini hapa tunaishi kiujanja ujanja
   
 13. w

  wyclefmore Member

  #13
  May 17, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mambo ya bodi ni dark market
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  May 17, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Umekuwa mtoto wa ******? Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu...
   
 15. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Mkataba tuloingia nao una-state kuwa deni linatakiwa lilipwe ndani ya miaka 10 tangu kumaliza elimu ya juu.
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  May 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,620
  Trophy Points: 280
  is better to take your time dud
   
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  May 17, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Kikristo hakipandi blaza...
   
 18. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #18
  May 17, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Is true: and in that case 10% is a lot to be deducted per each monthly salary, perhaps employer can play a part to support; the meager salary we have minus PAYE, NHIC and now HESLB we're to run bankrupt totally.
   
 19. Habdavi

  Habdavi JF-Expert Member

  #19
  May 17, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  hivi ni utaratibu gani wanautumia kuwapata wafanyakazi ambao wana deni la kurejesha mkopo huo? Kwa mfano mtu aliyeamua kujiajiri na kuna wale ambao wameajiriwa sekta isiyo rasmi. Ni kweli malengo yao ya kurejesha mikopo hiyo inafikiwa?
   
 20. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #20
  May 17, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Afu nasikia kuna wakati hata kama demi limekwisha jamaa wanaendelea tu kukata mihela.... Hayo kaniambia mwanangu mmoja wa TANROADS!
   
Loading...