Wana JF na Breaking news!!aghhh!Pufff!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Baadhi ya Wana JF Bwana mtu kasikia Radio one Breaking News Naye anleta humu eti nayo ni breaking News!!
Haya tujipange kuwa na habari motomoto siyo Kila kitu ni breaking News zingine ni Broken news wewe unaleta hapa upate Coverage!!:nono:
 
Jamani wengine tuko mbali na mahali pekee pa kupatia hizo breaking news ambazo wengine zinawakera ni kupitia JF. Huku tuliko Radio One hatuwezi kuisikia, ingawa tunaweza kupata ITV mtandaoni, lakini ni mpaka tukiwa tumetulia majumbani mwetu. Wakati huo huo JF tunayo wakati wote. Samahani kwa kuwakera wengine lakini tunaomba mtuachie nasi hiyo nafasi ya kuzipata breaking news humu jamvini. Tanzania ni yetu sote!:dance:
 
Nisawa lakini usiseme ni Breaking news!!Sema habari niliyoisikia chanzo fulani...........!Never say Breaking news while is not Breaking News!!
 
Baadhi ya Wana JF Bwana mtu kasikia Radio one Breaking News Naye anleta humu eti nayo ni breaking News!!
Haya tujipange kuwa na habari motomoto siyo Kila kitu ni breaking News zingine ni Broken news wewe unaleta hapa upate Coverage!!:nono:

Be it umeisikia Radio One, Au umeambiwa na "reliable source", Au umeiona CNN, Au umeambiwa na MKEO over the phone, BADO ni Breaking News! Huwa hamna "detailed breaking news"! Otherwise itakuwa siyo "breaking news" - right?

Cha msingi ni kuwa unapotoa "breaking news" unatakiwa kadri muda unavyosonga uendelee kutoa updates na hadi wakati ambao itakuwa unazo "details" za kutosha then inakuwa "news"!
 
Nisawa lakini usiseme ni Breaking news!!Sema habari niliyoisikia chanzo fulani...........!Never say Breaking news while is not Breaking News!!

Unachanganya vitu viwili tofauti!

"Habari uliyoisikia sasa hivi" ni tofauti na "Habari kuhusu kinachotokea sasa hivi" - sawa?
 
We kaka Kiiza samahani sana!! Hivi unafikiri kila m2 huwa anasikiliza redio one? Inaonekana we mchoyo/mbinafsi inamaana m2 anapokuwa amepata habari mpya iwe redioni, Tv au gazetini atakuwa amepata dhambi gani iwapo ataamua ku2juza sisi wana JF ambao baadhi ye2 hata hiyo redio one kuipata tu mpaka uende mkoani?
 
Be it umeisikia Radio One, Au umeambiwa na "reliable source", Au umeiona CNN, Au umeambiwa na MKEO over the phone, BADO ni Breaking News! Huwa hamna "detailed breaking news"! Otherwise itakuwa siyo "breaking news" - right?

Cha msingi ni kuwa unapotoa "breaking news" unatakiwa kadri muda unavyosonga uendelee kutoa updates na hadi wakati ambao itakuwa unazo "details" za kutosha then inakuwa "news"!
Breaking news mimi ninavyojua ni habari inayokuja kutoka sehemu yatukio bila kupitia chanzo chochote ikiwa wewe ndiye wakwanza kuitoa au unamtoa habari yupo sehemu yatukio anaendelea kutoa habari zilizojili!Na siyo habari imetoka baada ya masaa4 unakuja nayo hapa unasema ni breaking news labda utwambie habari zilizopo au latest story!

Unachanganya vitu viwili tofauti!

"Habari uliyoisikia sasa hivi" ni tofauti na "Habari kuhusu kinachotokea sasa hivi" - sawa?
Nikweli hapo kunalive news na latest news

We kaka Kiiza samahani sana!! Hivi unafikiri kila m2 huwa anasikiliza redio one? Inaonekana we mchoyo/mbinafsi inamaana m2 anapokuwa amepata habari mpya iwe redioni, Tv au gazetini atakuwa amepata dhambi gani iwapo ataamua ku2juza sisi wana JF ambao baadhi ye2 hata hiyo redio one kuipata tu mpaka uende mkoani?
Pole kwahilo yawezekana nimekukwaza lakini siyo nia yangu kukwaza zaidi nikujulishana kuhusu hilo!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom