Wanafundisha nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafundisha nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chapakazi, May 15, 2011.

 1. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hii ni sehemu ya Ze komedi inayorushwa na EATV. Nashindwa kuelewa hawa waandishi wa hizi comedy wanafundisha nini jamii kwa kuandika mchezo kama huu?
  Hasa hapo mwisho anapoenda kumgeuza huyo mwizi...
  Ni aibu kwa jamii yetu kufikia hapa na kurusha vipindi vya namna hii.

  Shukrani kwa Tangibovu kwa kuiweka.


  YouTube - Ze Komedi x264
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Ni hapo comedy inapozidi viwango!
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hata haichekeshi tena....wamekosa material ndo wanaandika ujinga!
   
 4. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hii ni aibu kwa fani ya waandishi wa comedies! Hawawezi kuanza kubadilisha misimamo ya jamii na kutuharibia vijana wetu! Sodoma na Gomora ilianza hivi hivi!!
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  It's all about money..
   
 6. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  money huku wana-subconsciously haribu akili za watu na kufanya matendo fulani yaonekane sawasawa! Ni upuuzi huu....
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  May 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280

  Chapakazi
  naomba ukimbuke hawa
  watafanya vitu ambavyo Director wao anawaambia
  na kingine kumbuka maisha ya hapa nyumbani yalivyokuwa
  magumu kwa hiyo mtu atafanya afanya kuji kimu mmmmhh
   
 8. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #8
  May 16, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  maisha magumu ndio sababu inayotumiwa na kila rushwa bongo. Hata polisi wakiomba pesa watakwambia maisha magumu. Maisha kuwa magumu haina maana uvunje sheria au kubadili maadili ya watu...au sio?
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  May 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  sasa hivi kweli unataka kusema maisha hapa nyumbani ni marahisi??
  labda hao ambao wanajaribu kuzuia hizo rushwa waangalia njia ya
  kuuondoa maisha magumu ( umaskini) sio wote bali kwa kiwango
  fulani.. we wacha bwana maisha yakiwa magumu na unafamilia ya
  kuilisha wewe tu ndo unaeangaliwa nyumba , hujasoma , huna kazi
  na huna mbele wala nyuma usema ukweli utafanya ufanyalo kuitunza
  na kuilinda familia yako.. vitu vingine si vakujitakia vinakuja na vipo
  na hayo ndo maisha...

  embu njoo kona baa nikueleze vizuri
  hahah lol
   
 10. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #10
  May 17, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kona baa ndio wapi?
  Kweli unaweza kutumia shida ku-justify kula rushwa au kupindisha maadili?
   
Loading...