Kamanda Sulemani Kova; dawa ya foleni hii hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamanda Sulemani Kova; dawa ya foleni hii hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SolarPower, May 15, 2011.

 1. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuanzia kesho tarehe -- 16.05.2011-- nauli ya daladala nchi nzima iwe shilingi elfu tano (5,000) tu kwa kila abiria bila kujali kuwa ni mtu mzima au mwanafunzi.
   
 2. e

  ebrah JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huoni aibu kuzungumza bila kufikiria katikati ya wanaofikiri?
   
 3. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kumbe ni kazi ya kova!? nilikuwa sijui kabisa!

  Kweli JF ni mto wa maji ambayo kila mtu anaoga na kuacha uchafu wake mtoni lakini maji bado masafi.
   
 4. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nilidhani SolarPower ni ufumbuzi wa matatizo ya umeme - hii hapa mbona inaleta giza?
   
 5. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Umetoka usingizini?
   
 6. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  MODS futeni hii au ipelekwe jukwaa la JOKES
   
 7. M

  Mama PC Member

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Anaota huyu
   
 8. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,564
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  hahaaahah
   
 9. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  kuna uwezekano jamaa anajua yupo facebook!kumbe yupo JF!
   
 10. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  sio kosa lako ukikua anaweza kuwa na hoja zenya akili
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280

  mi nasemag JF IMEVAMIWA NA WATOTO WADOGO WA MLIMANI N SHIDA TUPU..MBONA ENZI ZETU AKILI ZILIKUWA ZIMETULIA AMA WAMEFANYWA SUPRISE KUWA KULE SHIDA TUPU DAWA YA HAWA NI KULIPA TU WAWE.........NA ADABU...................
   
 12. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #12
  May 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Solar Power una mtoto wewe au ndiyo unajifunza kuchakachua? Laiti ungelikuwa na mtoto anayesoma hata vidudu usesema hoja kama hiyo japokuwa ume mnukuu makanda Kova.
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  May 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  tumekupata great sinker. Ur sinking rapidly
   
 14. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #14
  May 16, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tAfadhali sana futa kauli yako muda huu
   
 15. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ole wenu yakitokea
   
 16. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wawili wapo
   
 17. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haya yaja yetu MACHO
   
 18. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #18
  May 17, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Kelele ndezi, umri na hoja vinaweza visiendane. Afu mambo ya kukihusisha CHUO CHA TAIFA na huu upupu ukome!
   
 19. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #19
  May 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kumbe bado mtoto nilikuwa nasubiri nione utakachojibu ss nimekuelewa, au unafikiri unachat FB!
   
Loading...