Fatma Almas habari za biashara ITV!

Fatma Almas habari za biashara ITV!

kagamba kadogo

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
178
Reaction score
19
Nimeshangazwa leo na uwezo wa kazi wa Fatma Almas. Leo ameshindwa kabisa kuelezea kwanini rwanda mfumuko wake ni mdogo kuliko tanzania, kenya na uganda. Nadhani waandishi wa tanzania naona hawajui kitu na kusoma hawataki.. Nadhani knowledge yake kidogo kwenye business reporting. Godwin Gondwe kamtega vizuri....... Akaanza oh mfumuko wa bei ntawauliza wataalamu maana yake oh oh oh!!!!!
 
We unafikiri ni kwanini?
 
wako vizuri. Of course nipe mail yako ntakupa concept. Isije ikawa una thesis unataka materials
 
wako mil 9 tu population, chakula kwa wingi,wao mafuta tu ndo yana shake price movement....anyway...bado?
 
sema tu CPI yetu wanaangalia sana chakula, mafuta lakini ingeconsider vitu kama kodi za nyumba na private consumptions basi inflation ingekuwa kubwa zaidi ya hapo. Na jamaa wa takwimu ametoa alert vilevile. Kama angemsikia vizuri basi swali la gondwe ingekuwa rahisi sana
 
Una data?....central banks zinaonyesha rwanda 7.5% na tanzania 8.6%,lakini unavyosound utafikiri rwanda ni 2% na tanzania ni 32%....like it's so clear as to why rwandas inflation is lower,to me it's just the same + or - 10% (bearing in mind our obsolete data collection methods and negleting the predominant informal sector).

"Nope!...I don't think u got enough kahunas even to write a thesis"
 
wako vizuri. Of course nipe mail yako ntakupa concept. Isije ikawa una thesis unataka materials

wako mil 9 tu population, chakula kwa wingi,wao mafuta tu ndo yana shake price movement....anyway...bado?

sema tu CPI yetu wanaangalia sana chakula, mafuta lakini ingeconsider vitu kama kodi za nyumba na private consumptions basi inflation ingekuwa kubwa zaidi ya hapo. Na jamaa wa takwimu ametoa alert vilevile. Kama angemsikia vizuri basi swali la gondwe ingekuwa rahisi sana
Through law of one price; Tofauti ya bei za bei Rwanda na Tanzania au East Africa hazitarajiwi kuwa kubwa. Ndio maana ukipita hata kwenye pump zao za mafuta utaona tofauti ni negligible. Pia ukiangalia population ya Rwanda Vs eneo la nchi ambayo inakadiriwa ni mil 10, GNI per capital ambayo ni 400-500. Utaona hakuna jipya, tuache kusifia tusiyoyafaham.
 
Nimeshangazwa leo na uwezo wa kazi wa Fatma Almas. Leo ameshindwa kabisa kuelezea kwanini rwanda mfumuko wake ni mdogo kuliko tanzania, kenya na uganda. Nadhani waandishi wa tanzania naona hawajui kitu na kusoma hawataki.. Nadhani knowledge yake kidogo kwenye business reporting. Godwin Gondwe kamtega vizuri....... Akaanza oh mfumuko wa bei ntawauliza wataalamu maana yake oh oh oh!!!!!

hivi fatma almas ni mchumi au tv presenter?
 
unaweza kuwa na capita ya 2000 usd kwa mwaka lakini maisha mabovu. Hiyo 400 ina thamani sana kwa raia wa rwanda kushinda 700 ya TZ. Presenter lazima uji brush na ma report ya uchumi utayajua na utakuwa na confidence. Pale alibabaika
 
Dah! babu acha kujichora!!...Rwanda si nchi ya kuchukulia mfano kabisa,apart from having 10mil people,they are overpopulated,the ratio of people who live below poverty line is 50% compared to 38% ya tanzania and they get a lot of money from US just because they fight al shaabab ambao politically or economically hawaaffect day to day life of a Rwandan.
Till 2009 Rwanda has been running on a double digit inflation(world bank) and the people per se hawana productivity i.e coversion of their poor resources in to something tangible is almost zero.They run on Christian NGOs mercy! (iM LUTHERAN,BY THE WAY).

just let it go!,nobody really cares'bout RWANDA!,they are not influencial in anything but the Hague.
 
We unafikiri ni kwanini?

Mfumuko wa bei, ni kwasababu ya mkinzano unaokuwepo kati ya mahitaji(bidhaa na huduma) halisi ya mwananchi na gharama zake.

Inawezekana idadi ya wanaotaji ni kubwa kuliko bidhaa/huduma zilizopo ikapelekea kuwepo ushindani ambao unamfanya mtoaji wa huduma/bidhaa kupandisha bei akijua hakuna ujanja watu watanunua tu, bila kuzingatia thamani ya hiyo bidhaa/huduma na pesa yenyewe.

Hivyo basi inawezekana Rwanda ukinzani kama huo haupo na ndo maana mfumuko wa bei ukawa mdogo.
 
unaweza kuwa na capita ya 2000 usd kwa mwaka lakini maisha mabovu. Hiyo 400 ina thamani sana kwa raia wa rwanda kushinda 700 ya TZ. Presenter lazima uji brush na ma report ya uchumi utayajua na utakuwa na confidence. Pale alibabaika
wewe habari za uchumi na biashara umevamia kwa pupa sn. Hebu tulia kidogo maana unalazimisha ili iwe kisiasasiasa. Hizi story za mtaani ziweke kando kama unataka kujadili kiukweli. Unapewa statistics unaleta story!
 
HIZI sasa ndiyo hoja za kujadiliwa na GREAT THINKERS.....! HONGERENI WACHANGIAJI
YOU ARE REALLY GREAT THINKERS...!
 
Back
Top Bottom