Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 452
nimejaribu kubishana na mtu mmoja katika hili lakini kila mmoja wetu point zinaisha,swali ni kwamba which is salty,sea or ocean?nimeangalia Wikipedia lakini tofauti siioni sasa kama yupo MJUVI jamani.....................