God bell
JF-Expert Member
- May 13, 2011
- 590
- 211
Ndugu wana JF hebu tulijadili hili la kubadilisha leseni. Nasikia unaenda kozi ya wiki2 na unalipa laki 2. Nauliza kuna nini kipya huko? Halafu hii laki2 ya nini kama siyo kutunyanganya haki zetu. Au ndo tunafidia madeni ya nchi? Dreva hiace atatoa wapi hiyo laki2? Je dreva aliendesha gari miaka 20 anaenda kozi ya nini? Nawasilisha.