Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MKAZI wa Kijiji cha Nyaumata, Kata ya Somanda wilayani Bariadi, mkoani Shinyanga, Mayunga Mteremko ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kumuua mkewe. Inadaiwa kwamba, Mteremko alimkatakata mapanga...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jaman wanajamvi, jumamosi na jumapili nilikuwa Dodoma, nikasikia tetesi kuwa CHADEMA kitakuwa Dodoma siku ya jumapili jioni, na nililazimika kuondoka kurudi Dar mchana, je kuna mtu yeyote mwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wananchi imefika wakati kuzungumzia uongozi wa kitaifa, utamaduni wetu, Katiba yetu na hasa udanganyifu wa demokrasia ya Tanzania. Hatuwesi kila wakati kuacha kuzungumzia hali mbaya ya Taifa letu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ktk maisha mtu lazima upitie hatua mbalimbali then ufikie utu uzima, nakumbuka nikiwa mtoto tulicheza michezo mingi ya heshima tofauti na watoto wa cku hizi mzazi ucpokuwa makini mchezo wao niwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mfanyakaz akiagiza gar hupata msamaha wa kod,je mkulima mbona hana,hiyo si rushwa kwa serikal ya ccm ktk uchaguz?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani ndugu zangu nauliza hivi hapa TANZANIA kuna siasa za uchochezi:dance:
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mi nawashangaa viongozi wengine wa chama eti now wamejifungia na wake zao vyumbani uchaguzi ukifika eti nagombea urahi hii ni fair?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ilikuwa ni kanisani baada ya mchungaji kumkaribisha kama mgeni rasimi kwamba wananchi wamshike mkono , ndipo watu wote wakatoka kanisani na kumuacha mwenyewe. Ilikuwa ni fundrising event katika...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Muda huu nimepata Breaking news kuwa kuna Lori Moja linalosafirisha abiria kuwapeleka mnadani limepata ajali na watu wasiopunguo wanne wamepoteza maisha maeneo ya pawaga mkoani Iringa. kama...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mlidhania nichama cha chamchezo? Nichama chenye weredi tazama sasa CCM mnavyo hangaika mnarushiana makombora mara huyu aliniambia hili mara lile,Hata huyo Katibu Mkuu aliyechaghuliwa naona...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa maombi; Rudi kwangu uokoke, Niangalieni mimi mkaokolewe, enyi nchi zote za dunia, maana mimi ni MUNGU hapana mwingine.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kutokana na hali ya uchafu uliokithiri nchini hasa Mkoani Dar es Salaam, napendeza Serikali iiteue siku ya Jumamosi kuwa siku Maalum ya kufanya usafi nchi nzima kwa kuwahusisha na kuwashirikisha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi kufungwa kwa wezi wa sh bilion 1.8 za EPA, Rajabu Marando na Hussein, kutasaidia kupunguza uwizi au ndo changamoto kubuni mbinu mpya?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
* Interesting but their case against Halima Mdee still one but they settle all others against CCM... By In2EastAfrica - Sun May 22, 8:38 pm Dr Sengondo Mvungi said the chaos that erupted...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By In2EastAfrica - Sun May 22, 11:26 pm Controller and Auditor General (CAG), Mr Ludovick Utoh A local NGO has queried why he government spends billions in taxpayers’ money to audit the...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
UGANDA NA ZAMBIA WANASEMA WANAWEZA KUWAUZIA TANZANIA ZAIDI YA 600MW LAKINI UPANDE WA TZ WANASEMA MIUNDO MBINU YA KUSAFILISHA UMEME HUO NI MIBOVU.source amka na bbc kwenye mkutanao wa mpango wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF zikiwa zimebaki siku chache kabla ya badget kusomwa bungeni nimeona ni vema tushiriki kutoa maoni yetu kwa serikali juu ya hali ya maisha ilivyo hata kabla ya badget ya kodi kuanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
tuvushe kwa amani-- ya 1984 dodoma yasijirudie. eleza yote bila hofu 1. anzia na siku waliyonilaza getini kwa mwalimu pale msasani. 2. dr salim ahmed salim aapishwe kabla ya saa saba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni baada ya hesabu ya madai yao kukataliwa na mahakama kuu.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna wagonjwa wametoa bima ya Afya kwa babu baada ya kupata kikombe,babu amesema anataka hela sio kadi ,kadi source:RFA 5:20pm
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom