Idadi ya wanachama CHADEMA imepanda kufikia...

Technician

JF-Expert Member
Mar 30, 2010
841
222
Tafadhali mwenye data kamili atupashe sisi tulioko vijijini idadi ya wanachama mpaka sasa imefikia wanachama wangapi mpaka sasa.
 
Tafadhali mwenye data kamili atupashe sisi tulioko vijijini idadi ya wanachama mpaka sasa imefikia wanachama wangapi mpaka sasa.

CCM mpaka sasa wana wanachama milioni 6.3 , kwa CDM wao wako mjini tu mkuu hawazidi milioni 2. Hizo ndizo data na zenye uhakika !
 
Hadi mwisho wa maandamano ya kanda ya ziwa, kulikuwa na wanachama hai wa CDM wapatao milion 7, hao ni wale wenye kadi. Na inasemekana zaidi ya watanzania milioni 14 wanaiunga CDM bila kumumunya maneno sehemu yeyote ile, hii ni kwa mujibu wa habari za chini ya carpet, changanya na kwako utapata chini kidogo au juu kidogo.
 
kumbe huna uhakika ! mjini wako wangapi na vijijini wangapi ?
 
CCM mpaka sasa wana wanachama milioni 6.3 , kwa CDM wao wako mjini tu mkuu hawazidi milioni 2. Hizo ndizo data na zenye uhakika !

Upo kitengo gani pale tume ya taifa ya takwimu? Hebu tujuze ni asilimia ngapi ya watz wenye imani na mkweree?
 
CCM mpaka sasa wana wanachama milioni 6.3 , kwa CDM wao wako mjini tu mkuu hawazidi milioni 2. Hizo ndizo data na zenye uhakika !

Punguza kiherehere tumeuliza wanachama wa CHADEMA, siungeanzisha thread yako kuuliza CCM ina wanachama wangapi?
 
Mkuu ndoto hiyo bana vyama vya ukabila + udini haviwezi kuichukua hii nchi vitatuletea vita bure aisee

Najitahidi sana kufanya maombi angalau ufunguke toka makucha ya mkoloni mweusi ccm! Yani we binadamu unanyege mbaya na ccm sijapata kuona! Kumbuka nilikueleza kuwa we unaakili nzuri tu ila hujapata maono!! Sipati picha we ni kijana au mzee, maana kama ni kijana ni hasara kwa taifa la leo na kesho. Ktk jina la yesu kristo wa Israeli na mtume mohamedi s.w wa Minah Fungukaaaaaaaa!!!
 
Idadi yetu ndani ya CHADEMA ni kama tulivyo; Watanzania woooooooooote wasiopenda zuluma wala kunufaika kitu kutokana na ufisdi nchini. Sasa jibu la swali lako kwamba huenda tumefikia wangapi hadi hapo jana tu, your guess is just as good as mine.
 
ni ngumu kutambua idadi kamili kwa sasa, ila hali halisi inaonyesha chadema inakubalika nchi nzima, tatizo haijafanikiwa peleka uongozi hadi ngazi za vitongoji, ikifanikiwa hapo, basi itachukua dola mara moja.
 
ama kweli usipokuwa unafuatilia habari unakuwa mzigo kwa wenzio,, kweli hadi leo ukiona mtu mwenye akili bado anashadadia CCM hakika huyo hana la ziada katika dunia hii anafaa atoswe baharini kiwe chakula cha samaki.
 
Back
Top Bottom