Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hatua ya Nape kutoa pendekezo la kukutana viongozi wa CCM na Chadema kujadili kuhusu kupinga malipo ya Dowans si kitu cha kukichukulia kiulaini, nyuma ya pazia kuna kitu kinachozungukwa na hivyo...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
kundi la majambazi waliokuwa na buduki mbili aina ya SMG leo saa 12 alfajiri wamewapiga risasi na kuwaua askari wawili wa JWTZ katika tukio la utekaji nyara wa magari wilayani biharamulo mkoni...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Inasemekana Kuna gari limepinduka na kuwaka moto Kibaha watu karibu wotre wamepoteza Maisha... Walio karibu tafadhari fuatilieni na mtujuze...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
BASI LA DELUX LAPATA AJALI MBAYA MKOANI PWANI, LATEKETEA KWA MOTO, WATU WATANO WADAIWA KUOKOLEWA, KWA HABARI ZAIDI UNGANA NASI BAADAYE-Mwananchi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeambiwa kama unaishi Dar au Kigamboni usisome Uk. 9 unaweza kuhama mji!
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nimetokea Tanga kuwlekea Dat njiani nimekuta ajali mbili zote ni mabasi ya abirii Dar Express kabla ya kufika Kabuku limeanguka barabarani limelalia upande mmoja bahati mbaya ckuweza kupata...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Inasemekana meli hiyo imekwama katika eneo ilipozama MV Spice Islander kwa zaidi ya masaa nane na kuzua taharuki kubwa kwa abiria wanosafiri na Chombo hicho. source: Michuzi BLOG
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Rais wa Zanzibar azindua kikundi cha Taarab cha Tausi.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
A married man who pretended to be a doctor faked a paternity test after his lover became pregnant so that he could deny he was the father. Conrad De Souza seduced scientist and committed...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Baada ya kuhairisha kutoa majina ya waliochaguliwa kuingia vikuu kwa mwezi mmoja sasa TCU wameanza lakini kwa matatizo makubwa. Website yao haipatikani kabisa uwe nje au ndani ya Tanzania. Kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ticts kuna mgomo toka saa moja asubuhi leo ,madai ya hisa na ongezeko la mishaara ,baadhi ya mabosi wazungu wanyanyasaji na wanajiripa mabilioni ya pesa ,
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati kamishna wa zamani wa madini akiukwa ubunge huku akiwaahidi wananchi wake kuwagawia maeneo ya kuchimba akiwa nje ya ulingo ambapo hakufanya hivyo akiwa wizarani. Serikali yetu imetua ruhusa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sina la kuwalaumu wasomi wa tanzania, ila hamsaidii kuiletea maendeleo nchi yetu. Hivi wana jf mnajua kuwa sifa ya kuwa mwl mkuu ni diploma, au kuwa mkuu wa shule ni degree 1 au zaidi? Lkn mratibu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
By Alawi Masare The Citizen Reporter Dar es Salaam. The central bank yesterday moved to save the weakening shilling and put a stop to the runaway inflation by instituting measures that would...
6 Reactions
58 Replies
5K Views
Na bado watafaidi mpaka wajisome vizuri! Nchi ilikuwa haina deni kabisa waliomchukia Gaddafi walikuwa wabengazi!
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kama sio bure basi bei poa. Hata kama bidhaa zenyewe ni za chini ya kiwango. Tatizo ni umaskini wetu au ni mazoea tu?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa maana ya shujaa katika jamii yetu?maana kuna anayefanya mema anaitwa shujaa kuna anayefanya mabaya naye huitwa shujaa mifano ipo ya pande zote je kama Gadafi ni shujaa na Mobutu ni...
0 Reactions
4 Replies
13K Views
Ndugu zanguni naomba niulize hii hali ya kuaga mati mmeanza lini mwili wa mh kanali gadafi unatarajiwa kupewandugu zake leo usiku baada ya kukaa kwenye bucha moja na watu kutoa heshima zao za...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
KUNA mvutano kuhusu mazishi ya marehemu Kanali Muammar Gaddafi, watu wa kabila la kiongozi huyo wa zamani wa Libya, wanadai mwili wa ndugu yao ili wauzike kwa heshima, wakati Baraza la Mpito...
1 Reactions
27 Replies
18K Views
Back
Top Bottom