NATO waanza na deni la Trilioni3 Libya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NATO waanza na deni la Trilioni3 Libya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Perry, Oct 23, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Na bado watafaidi mpaka wajisome vizuri! Nchi ilikuwa haina deni kabisa waliomchukia Gaddafi walikuwa wabengazi!
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu, Hebu tufafanulie zaidi maana maelezo yako hayajajitosheleza umekua kama umefanya Comment.
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Jaribu kutoa habari kamili ili ueleweke vizuri.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  utawala
  mpya wa waasi utalazimika ku-service
  deni linalokadiriwa kufikia dola la
  Kimarekani Trilioni 3 kama gharama na
  hasara ambazo wanachama wa NATO
  wameingia kwa kushiriki katika vita vya
  kumuondoa Colonel Gaddafi. Gharama
  hizo zinahusisha mabomu, makombora
  na bunduki na silaha nyingine
  zilizotumika katika vita hivyo, gharama
  za ndege zake nane zilizoangushwa na
  majeshi ya Gaddafi wakati wa
  mapambano, pamoja na askari
  waliopoteza maisha katika harakati
  hizi.
  Deni hili kubwa na ambalo litachukua
  muda mrefu sana kulilipa, litaathiri kwa
  kiasi kikubwa mapato ya mafuta ghafi
  ambayo yatakuwa yanasafirishwa na
  Libya kwenda nchi za nje. Mpango huu
  uliojadiliwa kwa mara ya kwanza miezi
  kadhaa iliyopita na uliripotiwa
  kupingwa na kiongozi wa waasi wa
  wakati huo aliyekuwa akifahamika
  kama Yunus na kutokana na msimamo
  wake huo aliuawa siku moja baada ya
  kueleza msimamo wake huo kwa
  viongozi wa NATO. Gharama kama hizi
  ziliwahirushwa kwa uongozi mpya wa Iraq
  baada ya utawala wa Saddam Hussein
  kuanguka na zitaiweka Libya na
  wananchi wake waktika wakati mgumu
  kwani italazimika kusalimisha pato lake
  lote la taifa kwa ajili ya kukidhi
  matakwa ya watu hawa ambao wakati
  wote wamekuwa wakionekana na
  'wakombozi' wa wananchi wa Libya
  waliosemekana kuwa katika
  ukandamizaji wa utawala wa kiimla na
  wakishetani wa Gaddafi. Baada ya
  kusherehekea ukombozi huo, sasa
  watalazimika kujifunga mikanda ili
  kuwaridhisha 'waliowakomboa'!
  Swali linalojitokeza ni kwamba, je,
  wananchi wa Libya waliridhia mpango
  huu ambao sasa unawagharimu? Je,
  kwa nini NATO wameonyesha kama vile
  walikuwa na nia njema kumbe lengo
  lao lilikuwa ni tofauti? Je, hii inaweza
  kuwa ndiyo sababu ya wao kuatoingilia
  migogoro ya nchi ambazo hazina
  rasilimali za kutosha ambazo wanaweza
  kuzitumia kulipia gharama zao kama
  Somalia, Madagascar na kwingineko?
   
 5. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hivi hao NATO walitumwa na nani si ni kiherehere chao. walibya wakilipa hilo deni wote watakuwa ni mashoga. kama taneco kuwalipa dowans
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,441
  Trophy Points: 280
  WIZI MTUPU! Nilisikia hii katika mahojiano kati ya CNN na Balozi wa Libya US, ambapo mtangazaji alidai kwamba gharama za US katika uvamizi ule ni $2billioni hivyo US wangependa warudishiwe pesa zao hasa ukitilia maanani uchumi wa nchi ulivyoanguka. Kwa maoni yangu participation ya US ndio ilikuwa ndogo sana ukilinganisha na nchi nyingine UK, France, Italy etc kwa maoni yangu gharama hazifiki hata trillioni moja. Wameweka vibaraka vyao madarakani ambao watakubali lolote lile litakalosemwa na nchi za magharibi. Inasikitisha sana.
   
 7. String Theorist

  String Theorist JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Huma JF kuna signature moja inasema "MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO"
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Waliyataka wenyeeewe! Natena bora ili nasisi tupande juu kwenye rank ya umaskini!
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Hizi ni habari za kupikwa!
   
 10. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  walbya sasa karibuni kwenye ulimwengu wa makwelini
   
 11. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hivi itakuwa hata wa iraq na wa afghanistani wanalipa kalizai anapeza za bangi nadhani
   
 12. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Unapikwa masaburi ww.....
   
 13. c

  cossyguy New Member

  #13
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuanguka kwa uchumi ktk mataifa makubwa imekuwa ni balaa kwa nchi za kiarabu ambao walikuwa wako vizuri kiuchumi kwa utajiri wa mafuta duniani. Cyo nchi za afrika pekee bali ukanda wote wa kiarabu. Inauma sana! Viongozi wao walikuwa wanajua hayo lakini wananchi wao walikuwa hawajaona hilo, wachache kwa ushawishi wao wamewaponza wenzao kwa maslahi yao. Swali: cc kama watanzania leo tufanyaje kuepuka yaliyowakuta wenzetu? Kwa mwenye maono ya mbali atakuwa kashaona mwelekeo wetu! Maana nchi inavyouzwa kuanzia ardhi hadi migodi ni balaa!!!!
   
 14. Blessingme

  Blessingme JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hamna kitu hapo muanzisha thread naona umeanzisha kwa lengo la kuziponda nchi za magharibi na umeonesha umebase upande mmoja tu. Inaelekea c mzoefu wa mambo hayo so unapojaribu kuanzisha thread na unataka comment za watu heshimu mawazo ya kila mtu na usibase upende mmoja na usitoe lugha mbaya kwa yeyote anaepingana na wew. Hatukuzoea haya dats y wanaita home ov great thinkers.
   
 15. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu!
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Oct 23, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
 17. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,641
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  watamkumbuka sana Gaddafi....NATO walijua wanachofanya na kitawatokea puani WaLibya.......vita ndo imeanza sasa kati ya waasi na NATO
   
 18. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Libya

  [TABLE="width: 638, align: left"]
  [TR="class: afr_light"]
  [TD="width: 390"]Debt - external:
  [/TD]
  [TD="align: right"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"]$6.386 billion (31 December 2010 est.)
  country comparison to the world: 99$5.884 billion (31 December 2009 est.)

  Source: Bonyeza Hapa

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 19. Mr.Toyo

  Mr.Toyo JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 9, 2007
  Messages: 433
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aisee...
  Kumbe sio siri tena kuwa NATO walimplant muuwaji wa Yunus!!
  Ngoja nikaogelee kwanza..
   
 20. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu hiyo trilioni 3 nni Tshs, $3tn ni waandishi wa kibongo wanavyoonyesha uwezo wao mdogo wa kufikiri na kuandika tu bila fact checking, Marekani ndiyo imetoa hela nyingi kuliko nchi zote almost 70 % ambayo ni $2bn. Waandishi wa kibongo nadhani wengi hawajui kwamba there are very few countries in the world that are trillion dollar economies.
   
Loading...