TCU wamezidiwa uwezo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCU wamezidiwa uwezo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by smwansasu, Sep 21, 2010.

 1. s

  smwansasu Member

  #1
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Baada ya kuhairisha kutoa majina ya waliochaguliwa kuingia vikuu kwa mwezi mmoja sasa TCU wameanza lakini kwa matatizo makubwa. Website yao haipatikani kabisa uwe nje au ndani ya Tanzania. Kwa nini wasitumie ujanja wa baraza la mitihani la taifa, NECTA ambao huweka matokeo sehemu mbalimbali ili kuondoa msongamano kwenye mtandao? NECTA huweka website za wizara ya elimu na website ya serikali hivyo watu huwa na uchaguzi wapi wayapate.​
   
 2. M

  Matarese JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Yaani ni usumbufu tu hawa jamaa. Mimi kuna mtu huko kijijini anapiga simu kila baada ya nusu saa. Nimemwambia mtandao haupatikana wala hanielewi. That is TCU!
   
 3. alsaidy

  alsaidy JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Unajua majina yaliyotoka ni first batch tu ambayo inahusisha institution 10. Nimejaribu sana kupata hayo majina ila website yao hai respond imeshindikana kabisa, wacha nitajaribu na leo nione itakuaje.
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Jaribu web ya saut au/na blog ya wanabidii
   
 5. s

  smwansasu Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu Gama, SAUT wametoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na chuo chao tu. Ningetegemea vyuo vingine afuate mfano huo na msongamano website ya TCU usingekuwepo.
   
 6. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana na leo tena haipatikani,sasa sijui wale wa 3rd selection watapataje majina yao
   
Loading...