Michuzi Blog: Sea Bus inasemekana kukwama Nugwi zaidi ya Saa 8

GHOST RYDER

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Messages
1,025
Points
1,195

GHOST RYDER

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2011
1,025 1,195
Inasemekana meli hiyo imekwama katika eneo ilipozama MV Spice Islander kwa zaidi ya masaa nane na kuzua taharuki kubwa kwa abiria wanosafiri na Chombo hicho.

source: Michuzi BLOG
 

Mdondoaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Messages
5,109
Points
1,225

Mdondoaji

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2009
5,109 1,225
Jamani Nungwi hapo!!!! Isijekuwa ndio Bermuda Triangle ya Tanzania maana sasa hili balaa. Kuna haja serikali ikaenda kuwaokoa jamaa haraka sana maana mawimbi ya hapo ni balaa na mkondo wa bahari ndio kabisa. Na serikali kuna umuhimu wa kusimamisha vyombo vyote vya majini vifanyiwe ukaguzi kabla ya kuendelea na usafiri maana hii sasa balaa!!!!!
 

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
6,839
Points
2,000

rosemarie

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
6,839 2,000
wakuu nungwi ikoje,nimejaribu ku-google ili nipate story yake lakini haipatikani kwenye net,tunaomba mtu anajua historia ya nungwi atueleze
 

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,718
Points
2,000

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,718 2,000
walikuja ni waogeleaji kama wapale feli usanii mtupu hawana lolote halafu subirieni gharama zake lazima muanzishe thread kibao kupinga huo mkwanja..

langu jicho hehehehheeeeeeeeiyaa.
 

Mdondoaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Messages
5,109
Points
1,225

Mdondoaji

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2009
5,109 1,225
wakuu nungwi ikoje,nimejaribu ku-google ili nipate story yake lakini haipatikani kwenye net,tunaomba mtu anajua historia ya nungwi atueleze
Ni mahali mkondo bahari moto wa Somalia unapokutana na Mkondo bahari baridi wa Mozambique panakuwa panachafuka sana tu. Fuatilia zaidi kwenye link hapa chini ina ramani ya mikondo bahari yote duniani utakuona Nungwi. Stori za wavuvi wanasema ukikwama Nungwi na jahazi unaweza kuibukia India, Tanga, Unguja , Pemba , Madagascar au ukapotelea baharini kutegemea na bahati yako.

http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/6/67/Ocean_currents_1943_(borderless)3.png
 

Forum statistics

Threads 1,379,207
Members 525,346
Posts 33,738,010
Top