Basi la delux lapata ajali mbaya mkoani pwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Basi la delux lapata ajali mbaya mkoani pwani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dingswayo, Oct 25, 2011.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  BASI LA DELUX LAPATA AJALI MBAYA MKOANI PWANI, LATEKETEA KWA MOTO, WATU WATANO WADAIWA KUOKOLEWA, KWA HABARI ZAIDI UNGANA NASI BAADAYE-Mwananchi
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  mwishoni mtalitaja mgangaluma, mzunguko wa sokomatola mbalizi wakati siku hizi haupo
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Mpwa, mbona kuna thread inayosema ni Shabiby? tunaombeni mwenye uhakika zaidi pamoja na wewe tuweke hili jambo sawa, na kule wanasema ni watu watatu tu waliosadikiwa kupona pona, tusaidieni kwa taarifa zaidi
   
 4. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280
  Ni Shabib au delux?..
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,538
  Likes Received: 12,797
  Trophy Points: 280
  Times radio walitangaza delux ndo imepata ajali! Anyways iwe shabiby taqwa or ngorika is still a big loss r.i.p
   
Loading...