Majambazi yaua askari wawili wa JWTZ

johnmashilatu

JF-Expert Member
Sep 16, 2010
718
703
kundi la majambazi waliokuwa na buduki mbili aina ya SMG leo saa 12 alfajiri wamewapiga risasi na kuwaua askari wawili wa JWTZ katika tukio la utekaji nyara wa magari wilayani biharamulo mkoni kagera

tukio hilo limetokea kwenye kijiji cha Nyambale kata ya Lusahunga baada ya majambazi kuteka nyara magari matatu yaliyokuwa yaklifuatana kutoka biharamulo kwenda eneo Lusahunga kwenye mnada wa Ng'ombe

taarifa za polisi wilayani Biharamulo zimesema majambazi hao pia wamewapora abiria w amagari hayo fedha taslimuna vitu mbalimbimbali

aidha mganga mkuu wa hospitali ya wilaya ya Biharamulo Dr Grasmus Sebuyoya amethibitisha kupokea miili ya askari hao
 
RIP askari wetu..sijui situation ilikuwaje na sijui mlikufa kwenye mapambano au vipi...au labda mmeuwawa na wanajeshi wenzenu sisi hatujui.....
 
Aisee hii hatari sasa, inakuaje? jeshi la polisi halikupapata taarifa za kiitelejensia?

source ya habari ni wap mkuu?
 
tume, tume, tume, tume, tume, tume, tume, tume, tume, tume iundwe, ....hawa jamaa wamekuwepo siku nyingi sasa sijui hii tume itaanza na incidents za nyuma au itafanyia kazi tukio hili tu!?
 
tume, tume, tume, tume, tume, tume, tume, tume, tume, tume iundwe, ....hawa jamaa wamekuwepo siku nyingi sasa sijui hii tume itaanza na incidents za nyuma au itafanyia kazi tukio hili tu!?

fungu hakuna kwa wahanga wa kitanzania,lipo kwa ajil ya wawekezaj tu!
 
Hii ishu ya majambazi huko Ngara haijapatiwa dawa bado?? Maana ilisemekana ni jamaa wa Rwanda ndio wanfanya ujambazi huko.
RIP wanajeshi..
 
R.I.P Askari wetu, Mtoa mada hawa akina mura walkuwa nao ni abiria au walienda kupambana na majambazi,? na kama ndivyo polisi wa tossi walikuwa wapi?
 
on their way kazini, walipanda kwenye moja ya magari yaliyotekwa bila kujua.., walikua na combat, kwhy wale majambazi waliona wamestukiwa wakaamua kuwashona risasi..,
 
Vipi Yule Mwanaitelejensi S.Mwema hakuoteshwa kuwa kutakuwa na Majambazi yanaotaka kupora na kuwauwa JWTZ la baba Riz1? Mimi lawama zangu nazielekeza kwa S.Mwema inamaana Itelejensia yake inafanyakazi kwenye Maandamano tu?
 
Hivi hiyo sehemu ina matatizo gani ni kwa nn police inashindwa kuwadhibiti hao majambazi ili wananchi waishi kwa amani au kuna watu wanapata faida kutokana na utekaji huo?kama polisi imeshindwa kwa nn jeshi lisiende pale likafungua kambi wakawa wanaishi hapo kabisa kwa lengo la kulinda raia wa nchi hii?hivi vifo vya raia mheshimiwa Rais huvioni?
 
mm nadhani kungekua na joint operation ya police na jeshi ambayo ni indefinate.., yani patrol za kila siku kwny hzo barabara
 
Ingekuwa kipindi kile cha enzi zile za 'comradeship', wangepatikana ndani ya masaa 24.
RIP wapiganaji wetu. U died kwa kitenge cha bakabaka.
Note: mashalobalo mnao penda kujivika hicho kitenge cha jeshi wakati havikuhusu mnaona its price? Ukivuliwa sema asante.
 
Back
Top Bottom