Kwa nini Watanzania tunapenda vya bure? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini Watanzania tunapenda vya bure?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NGUVUMOJA, Oct 24, 2011.

 1. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kama sio bure basi bei poa. Hata kama bidhaa zenyewe ni za chini ya kiwango. Tatizo ni umaskini wetu au ni mazoea tu?
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  sija kuelewa mkuu, kama vip boresha kidogo.
   
 3. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Kupenda vya bure ni tabia ''nzuri'' ya binadamu wote; kama hukujua wazungu ndiyo wanaongoza kwa kupenda vya bure ila usipofikiri kwa undani utadhani wao wananunua sana lakini siyo....Chunguza vizuri tena wanapenda kutuibia sana.
   
 4. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  ni tabia iliyorithiwa toka kwa mkuu wa kaya. Anapenda dezo huyooooo
   
 5. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  tumegawa viwanda vyetu eti ni uwekezaji tatizo ni kutoka utumwani. Tusingelikuwa watumwa tungeliweza kuwajua watu waliogawa viwanda vyetu bila kutuuliza kuwa ni wajinga zaidi yetu, pia hata wenyewe hawakuwa wakielewa madhara ya walivyofanye. Tukae tule matunda ya maamuzi yetu au tujifungue minyororo ya utumwa.
  Nimeona hii nuukuu ikavisumbua sana akili. Haina tofauti sana na mawaidha ya Mwalimu Nyerere.

  freedom.jpg
   
 6. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Naongelea tabia za baadhi yetu kupenda vitu vya kupata kirahisi kuliko uhalisia wake. Mfano mmoja ni ununuzi wa bidhaa feki zisizodumu au hatarishi lakini tu kwa kuwa bei ya chini au umeahidiwa chako yaani 10%
   
 7. k

  kaeso JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umesahau pia wafanyabiashara wanauza kwa bei ya juu kuliko bei halali ya bidhaa, hivyo watu wamezoea kulialia bei ipunguzwe kwa kila kitu. na hii imekuwa ni tabia ya wafanyabiashara pia kupandisha bei tofauti na bei halali...
   
 8. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,753
  Trophy Points: 280
  Umaskini uliokithiri mkuu
  manake karibu watz wote
  vipato vyetu havitoshi kabisa
  tena hata kwa maisha yale
  ya kawaida kabisaaaaaaaaaaaa
   
 9. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu you've gone extremely deap.
   
 10. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Pia mkuu wapo wafanya biashara wanaotaka kuuziwa mali za mashirika kwa bei poooa baada ya kuwatip wahusika.
   
 11. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Unaongelea ukoloni mamboleo au sio?
   
 12. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Muulize jamaa anaeenda kuomba Ughaibuni ili tusife njaa
   
 13. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wazungu kwa vya bure ndo wanaongoza,mfano kuwarubuni viongozi wetu kwa mikataba feki!
   
 14. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hakuna mtu yeyote duniani aneyependa vya ghali. suala la ubora ni suala jengine tofauti.
   
 15. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kaa pembeni usiependa vya bure tuache tujichane vya bure!!!
   
 16. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa sababu tunaishi kwa mazoea.
   
 17. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ni tabia ya kupenda shortcuts!
   
Loading...