Waislamu mmeanza lini kusabahi maiti? Gadafi awekwa kwenye bucha watu waanza kumuaga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waislamu mmeanza lini kusabahi maiti? Gadafi awekwa kwenye bucha watu waanza kumuaga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 24, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Ndugu zanguni naomba niulize hii hali ya kuaga mati mmeanza lini
  mwili wa mh kanali gadafi unatarajiwa kupewandugu zake leo usiku
  baada ya kukaa kwenye bucha moja na watu kutoa heshima zao za mwisho
  habari zaidi zinasema watu wamekuwa wakiminika kuaga mwili huo lakini
  hali yake inaelekea kuwa mbaya nahivyo viongozi wa ntc wameona wawape ndugu zao
  wakauzike ....
  Kwa habari zaidi soma gazeti la nipashe

  swali langu waliomuua gadafi ni waislamu ama wakristo.na je ntc inaongozwa na dini gani
  je ni sahihi kumtia aibu bw yule kwa mabaya yottee aliotenda kwa kumweka kwenye bucha
  loh kwelimalipo hapa hapa duniani.....
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Defame..
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  kutokana wanamkubali kiaina ndio maana wamefanya hivyoo..
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kwenye maandamano ya arusha kati ya walio kufa alikuwepo Ismail na siku ya kuwaombea maiti ililetwa kwenye viwanja vya nmc japo hakufunguliwa kama ilivyofanyika kwa mkristo lakini kitendo hicho waislam walikipinga kwa nguvu sasa leo gaddafi tusubiri bakwata watoe tamko la kulani kitendo hicho..
   
 5. m

  mzee wa wau Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NdNdugu zetu waarabu wamepotoka.Wanamkosea mungu kwa lile neno Allah Akbar wakati wanafanya vitendo vya kinyama.huo ni udhalilishaji wa dini.
   
 6. l

  luckman JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Soon wataanza kulia, mi nipo hapa!mungu hajafurahishwa na ndo maana washaanza kutofautiana!
   
 7. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,195
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  si hata Gadafi naye alipo ua wapinzani wake alishangilia kwa Allahu Akbaru, au!
   
 8. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  target yao ilikuwa ni kumuua gaddafi, wamefanikiwa. wot is next .......watamkumbuka.
   
 9. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,195
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  Kulia, kucheka, zote ni Kelele!
   
 10. l

  lumimwandelile Senior Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  majeshi ya NATO ni wakristu, hivyo ukiristu unatawala zaidi
   
 11. a

  alles JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 14, 2006
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbaya zaidi waislam wote wako kimya wakati maiti ya mwislam wenzao inaagwa ikiwa nusu uchi. Hiki kitendo kingefanywa na NATO au nchi nyingine kwa kuianika maiti ya mwislam buchani tena ikiwa nusu uchi,waislam wangepiga kelele sana. Leo wao na NATO ni chanda na pete, ila kesho wasije piga kelele kwamba ukristo unatawala dunia au usislam unadhalilishwa. wakati wameshaionyesha dunia kwamba ni sawa maiti ya mwislam kuagwa hata ikiwa nusu uchi sio vibaya, na hata ikikaa zaidi ya siku nne bila kuzikwa nako sio vibaya pia.
   
 12. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hapo ndo tunasubiria tuone
   
 13. Polite

  Polite JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 2,629
  Likes Received: 657
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha ha ha we unauDINI mbayaaa pale hawasabai,hawaagi bali wanashuhudia.Reference=maiti ya pharaoh bado ipo kule misri na watu huenda kushuhudia mpaka leo na ni agizo la mungu kwa udictator wa pharaoh.kwa kuwa mindset yako ni udini, hulka yako udini lazima utuulize waislam maswali ya udini ha ha ha ha ha ha ha ha ha
   
 14. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kwa lipi hasa ?
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  wanaona sifa lkn very soon sifa hz zitawatokea puani.
   
 16. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 803
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  tatizo lako siku hizi unatumia masaburi kwenye post zako,kwanza ulichoandika umekielewa mwenyewe,sijui ulikuwa unataka kuuliza au kututaharifu nini sijui...!!basi andika kwa kilugha chenu basi ili uweze kueleweka.
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  sema sijaelelwaq angalia mabwana zako hapo juu wanavyoendeelea kuchapa lapa
  usiseme hatuna sema sina umesomea kiswahili wapi wewe
   
 18. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  walitoa misikitini juzi ijumaaa!
   
 19. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  Isikuumize kichwa. Ameuwawa na Waarabu wenzake.
  ..Wapiganapo ndugu wawili, chukua jembe ukalime.
   
 20. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  halafu bado aliyeteuliwa kuwakilisha upande wa waislam akatoa speach inayomlenga wa kwao tu. Hawakumzungumzia mwenzake mkristo. Hapa nndipo niliona uzuri wa shule na kutakaswa akili.
   
Loading...