Dr.SLAA kumbe Kibaraka!

greenstar

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
390
53
Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha MABEPARI ambao anadhani watamsaidia baadae! Bora ya NAPE anaweza akawatetea watanzania wanyonge kuliko wewe unayefikiria madaraka tu! NAPE jipange sawa sawa nakutabiria uje uwe RAIS wa TZ nyota yako inang'aa hadi mafisadi wanakuogopa kuliko upizani kwa vile upo makini sanaa...
 
changia maada kama wewe mjanja usikurupuke...tunahitaji AFRIKA HURU siyo kuletewa vichaa wa madaraka kama anavyofikiria SLAA.WE NEED ONE VOICE OF AFRICA BY AFRICANS NO MATTER WHAT POOR WE ARE!!!GADAFI DID A LOTS FOR LIBYANS THAN WHAT HE HAD BN FAULTED
 
Ina maana mshamsahau Dr.wa ukweli?kama mmemsahau mtamjua vyema 2015 na ndo mtajua kumbe yeye ni kibaraka wa watanzania maskini wa nchi hii,ni bora ukawa kibaraka wa watu wako kuliko kuwa kibaraka wa Ghaddafi eti kisa alijenga msikiti pale Dom..J.K type!
 
Slaa yupo katika kundi lile la asilimia 70 ambalo bila shaka nawe pia umo!
 
Ukiwa unategemea kugombea urais, huwezi kuonyesha sura zote!! kwani hawa wezi huwajui? fanya homework yako vizuri bana.
 
Kwani Gadafi alifanya lipi la kumsifu tunalojua watanzania? Mimi najua hakuna anaefurahia kifo,lakini anaye uwa kwa upanga atakufa kwa upanga hapo hakuna kumungunya maneno.watanzania wachache mnaomtambua Gadafi twambieni nini katufanyia.hata wananchi walibya wanafurahi kuwa huru,wengi wanakumbuka watoto wao.waume zao walivyouliwa kikatili,Gadafi hakuwa na utu kabisa nakumbuka enzi za Idi Amin kwani nilikuwa Uganda,nilisikia na kushuhudia mengi,ukatili aliofanya na kumfundisha nduli IdiAmin Dadaa.wema aliofanya Gadafi hauwiani na ubaya aliowafanyia wananchi wa Libya kila familia kwa namna moja au nyingine wamepoteza mtu juu ya ukatili wake.
 
Hamjui Slaa kuwa ni mroho wa madaraka. Lazma ashibikie wahuni wenzake wa Libya.
 
Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha MABEPARI ambao anadhani watamsaidia baadae! Bora ya NAPE anaweza akawatetea watanzania wanyonge kuliko wewe unayefikiria madaraka tu! NAPE jipange sawa sawa nakutabiria uje uwe RAIS wa TZ nyota yako inang'aa hadi mafisadi wanakuogopa kuliko upizani kwa vile upo makini sanaa...
Slaa anasimamia anachokiamini.Siku zote ukweli ni gharama kwa anaeusikia.tumewazoea wote mnaopinga mwazo yake yatupasa kuheshimu na kutambua kile mtu anachosimamia,tulumbane kwa hoja.tuambieni Gadafi tutamkumbuka kwa lipi?kununua (aridhi yetu bure?kumiliki mahoteli yetu bure? Kutoa maamuzi juu ya nini kifanyike kwa viongozi wetu wasio na macho na midomo?TUAMBIENI
 
Hamjui Slaa kuwa ni mroho wa madaraka. Lazma ashibikie wahuni wenzake wa Libya.

Imekaa vizuri ingekuwa hivyo leo tusingetofautiana na Ivory Coast.time will tell kama Libya walichoka na mfumo wa kidictetor basi nasisi watanzania tutafika,tuko karibu meli inaelekea kuzama.
 
Tupunguze unafiki kipindi khadafy anashambuliwa na hao mbwa koko kama alivyowaita tulikuwa kimya hakuna hata aliyethubutu kuchukua rungu kwenda kumsaidia hata wale alikuwa akiwapa misaada nao wakawa wanakwepa kuzungumzia mgogoro leo baada ya kifo chake ndiyo tunaibuka na nakupenda za kinafiki..rafiki wa kweli ni yule mmaye saidiana ktk shida na raha.
 
Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha MABEPARI ambao anadhani watamsaidia baadae! Bora ya NAPE anaweza akawatetea watanzania wanyonge kuliko wewe unayefikiria madaraka tu! NAPE jipange sawa sawa nakutabiria uje uwe RAIS wa TZ nyota yako inang'aa hadi mafisadi wanakuogopa kuliko upizani kwa vile upo makini sanaa...
pole sana maana huo ndiyo mwisho wako wa kufikiri. kinachonichekesha hujatueleza ni kibaraka wa nani, umejuaje, Hisia za kifo cha Gaddaf ni multdimensional umeshindwa kulitambua hilo.Umeshindwa kujua kuwa hao Mafisadi leo Bwana mdogo Nape anaowasisitiza wajivue Gamba ni product ya kazi Ya Dr.
Usikurupuke siku nyingine mdogo wangu andaa hoja na si ushabiki
 
Kwani Dr ameonesha furaha kwa maneno gani? Tuambie alisemaje mpaka umlaumu kiasi hiki mkuu?
 
Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha MABEPARI ambao anadhani watamsaidia baadae! Bora ya NAPE anaweza akawatetea watanzania wanyonge kuliko wewe unayefikiria madaraka tu! NAPE jipange sawa sawa nakutabiria uje uwe RAIS wa TZ nyota yako inang'aa hadi mafisadi wanakuogopa kuliko upizani kwa vile upo makini sanaa...

Kweli nimeamini 100% ya mwili wa mwanadam ni mimaji michafu hasa wewe
 
Back
Top Bottom