Shujaa ni nani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shujaa ni nani??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Safety last, Oct 24, 2011.

 1. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Naomba kujuzwa maana ya shujaa katika jamii yetu?maana kuna anayefanya mema anaitwa shujaa kuna anayefanya mabaya naye huitwa shujaa mifano ipo ya pande zote je kama Gadafi ni shujaa na Mobutu ni shujaa? Vipi mandela, Osama sadam ,samwel Do, san Abacha ,mugabe,G. bush,Hugo chavez,DALAI LAMA..mkwawa na wengine hii maana ya ushujaa imekaaje kwao?
   
 2. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Shujaa wako wewe anaweza kuwa ghaidi kwangu. Unajua neno shujaa ni kivumushi cha sifa kinachotegemea sana perception ya mtu. Wengi wa uliowataja hapo ni maghaidi lakin jamaa wa upande wa pili wanasema hao ni mashujaa, mfano Ghadafi, JK. One man's terrorist is another man's freedom fighter...
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  nimekupata mkuu kwa hiyo inategemea jamii husika na mtizamo wao kuhusu shujaa ,Je yupo shujaa anaekubalika na pande zote?
   
 4. k

  kingtuma Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shujaa ni yule anayeibuka na ushindi ktk pambano fulani, lakini anayediriki kushiriki pambano ni jasiri
   
 5. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kimildzo umejibu sahihi maana shujaa kwako gaidi kwa wengine
   
Loading...