Sina la kuwalaumu wasomi wa tanzania, ila hamsaidii kuiletea maendeleo nchi yetu. Hivi wana jf mnajua kuwa sifa ya kuwa mwl mkuu ni diploma, au kuwa mkuu wa shule ni degree 1 au zaidi? Lkn mratibu elm kata ni bosi regardless elm yake ya ualm daraja la 3.
Wana jf mnaamini wakurugenzi wa halmshr na usomi wao wanatetemeka mbele ya std IV/ VI tunaowaita waheshiwa wa kata? Hv tunajua policy makers/planners wanawategemea wapiga poroja wa makinda ili ionekane wanawaridhisha.
Wasomi wetu, akina profesa nani na nani wapo tu hapo udsm na kwingineko wanasubiri kutekeleza maagizo ya madiwani wengi ambao ni illiterates. Kwa mfumo huu MASIKINI TZ ITAKUFA IKIWA MASIKINI.
Wana Jf kama nakosea nikosolewe.