Eneo la wachimbaji wadogo wa dhahabu Tanga lapewa muwekezaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eneo la wachimbaji wadogo wa dhahabu Tanga lapewa muwekezaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kabwela, Oct 24, 2011.

 1. Kabwela

  Kabwela Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati kamishna wa zamani wa madini akiukwa ubunge huku akiwaahidi wananchi wake kuwagawia maeneo ya kuchimba akiwa nje ya ulingo ambapo hakufanya hivyo akiwa wizarani. Serikali yetu imetua ruhusa kumpa muwekezaji eneo lililokiwa linatumiwa na wachimbaji wadogo wa dhahabu mkoa wa Tanga FYI:
  http://www.marketwatch.com/story/canada-gold-receives-conditional-tsx-venture-exchange-approval-for-the-acquisition-of-700km2-of-prospecting-licenses-in-tanzania-2011-10-13


  Hivi serikali yetu itawawezesha lini wachimbaji wadogo wetu kuweza kuyatumia maeneo yetu kwa faida yetu wenyewe. Au watanzania tufaidi madini yetu zaidi ya 3% tunayoambulia sasa kutoka kwenye mrahaba.
   
 2. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ngoja sisi tukavue tu kwa sababu tumeikubali hali hii mpaka hapo tutakapoikataa ndo serikali itakoma
   
Loading...